Msimu huu, tuna EL, FA cup and Capital league Cup, so ni lazma kuwe na wide squad,
Nadhan katika first team tutakuwa na 3 options kwa makeeper ambapo ni Migs, Bogdan and Ward (ambaye katoka kusign his new contract), tutakuwa na 5 options kwa CB's ambapo ni Skrtel, Sakho, Lovren, Ilori and (oh Well) Kolo..tutakuwa na 4-5 options kwa fullbacks ambapo ni Moreno, clyne (pending), Manquilo, Flanno, and Jose (kama panga halitompitia), katika Midfield, tutakuwa na 6 options ambapo Lucas ndo the only DM (well, inasemekana kuwa rodgers siyo fan wa DMs kama Guardiola) so CMs ni Can, milner, Henderson, Kovacic (pending), ambapo Kovacic ni modric esque, anaweza akacheza kama 2nd holding CM na pia kama CAM na pia tuna Allen..and katika CAM tuna Coutinho, kwa upande wa wings tutakuwa na option 2, which is Markovic and Ibe, Firmino is not a striker, but rodgers anataka acheze sambamba na ST mbele, kwa upande mwingine both Firmino, Kovacic, Cou and Markovic can play kama AM, roaming behind a ST, but katika 4-4-2 namuona Bobby akiwa infront kabisa..then kwa ST, nadhan tutakuwa na DS, Bacca/?. Ings, Origi returns inategemea na kuuzwa/kubak kwa ballo..eventhough hata origi akija nahisi atakuwa anacheza sana wide..