If true, this could be the best piece of news of the close season!
Hawa Wamanga tungewapata before those two Yankees dickheads Gillet na mwenzake 10 years ago, nina uhakika by now tungekuwa tumebeba at least ndoo 3 za EPL and at least one more CL crown to our name. Embu angalia ManCity na umbumbumbu wao wote walicho-achieve kwa kuwa bankrolled by the bottomless pockets za Wamanga.
Natamani sana hii habari iwe kweli..
Dah! Loserfools are so desperate to the extent that the desperation impairs their thinking 
Sasa wanadhani kuwa na Arab monies ndiyo suluhisho! Angalieni PSG, Monaco, Shitty n.k. Hizo zimeshashinda UCL naona!
Wakati wapenzi na wanazi wa Man United, wakipinga mfumo wa umiliki wa timu wa sasa, Loserfools wanahisi kuwekwa chini ya waarabu ndiyo suluhisho.
Ingawa nakubali kwamba mpira wa sasa ni pesa, sikubali kwamba mfumo wa timu kumilikiwa na mtu mmoja ndiyo suluhisho la kupata pesa na mafanikio.
Ukiangalia timu kama R. Madrid, Barcelona na B. Munich, timu zenye mafanikio makubwa Ulaya, zinamilikiwa na wanachama. Mimi naamini huu ndiyo mfumo unaoweza kuleta mafanikio ya kudumu kuliko kutegemea kudra za 'mjomba', ambaye siku moja anaweza kuhamisha mapenzi kwenye masuala mengine.
huyo ni wewe...kama unaamini hivyo endelea kuamini hivyo....
na wengine waache waamini wanavyoamini.....
It's that simple....
Nina strong feeling kuwa Rodgers ni Manchester utd fan..

Jaman hivi kuna mtu anayemjua hata kidogo huyu assistant manager wetu mpya?? (Background yake ikoje?)
Ndo choice ya Rodgers hiyo Aisee, me na kufatilia kwangu soccer kote sijawah kumjua huyu jamaa, labda wenzangu mnamjua Aisee..
#ComedyFC
Me mwenyewe nilistuka nilipoona jina lake ikabidi nikamsome nikakuta eti ni kocha wa england under 19 (hii post kaipata September mwaka Jana)
Chakushangaza hana uzoefu wowote na ligi kubwa hebu cheki hapa
ODriscolls Management Timeline
Bristol City: 14 Jan, 2013 to 28 Nov, 2013
Nottingham Forest: 20 Jul, 2012 to 27 Dec, 2012
Crawley Town: 16 May, 2012 to 20 July 2012
Nottingham Forest (assistant manager): 19 Jan 2012 to 16 May 2012
Doncaster Rovers: 08 Sep, 2006 to 22 Sep, 2011
Bournemouth: 19 Aug, 2000 to 10 Sep, 2006
Halafu msikie Rodgers alichokisema kuhusu ODriscoll hii ilikua 2013
Look at Sean ODriscoll. He is one of the best coaches I have ever come across. He is working at Bristol City. He has never had a chance in the top flight. His teams were expressive, had movement, they were technical, but he will probably never get a chance at a higher level.
Ni muda tu kumbe alikua impressed naye nasikia Sean naye ni mfuasi wa 4-3-3 let's wait and see tunapoelekea

hahahahahah Rodgers kamteua mtu wake....
hapa ndo huwa nawachukia FSG...wanamlea Sana huyu jamaa

Yan kitu kikubwa cha kuombea tubdl kocha kwanza
Dah! Loserfools are so desperate to the extent that the desperation impairs their thinking 😂😂
Sasa wanadhani kuwa na Arab monies ndiyo suluhisho! Angalieni PSG, Monaco, Shitty n.k. Hizo zimeshashinda UCL naona!
Wakati wapenzi na wanazi wa Man United, wakipinga mfumo wa umiliki wa timu wa sasa, Loserfools wanahisi kuwekwa chini ya waarabu ndiyo suluhisho.
Ingawa nakubali kwamba mpira wa sasa ni pesa, sikubali kwamba mfumo wa timu kumilikiwa na mtu mmoja ndiyo suluhisho la kupata pesa na mafanikio.
Ukiangalia timu kama R. Madrid, Barcelona na B. Munich, timu zenye mafanikio makubwa Ulaya, zinamilikiwa na wanachama. Mimi naamini huu ndiyo mfumo unaoweza kuleta mafanikio ya kudumu kuliko kutegemea kudra za 'mjomba', ambaye siku moja anaweza kuhamisha mapenzi kwenye masuala mengine.
WELL, Rumours ni kwamba FSG wanajiandaa kuiuza LFC kwa waarabu wa DUBAI, ambao wanamiliki OIL Company inaitwa CONSORTIUM, mmiliki wake ni "SHAIKH HAMDAN BIN RASHID AL MAKTOUM" ambae inasemekana ndo the 5th richest man in the world..and you can check on twitter that company is following us (LFC).
Kama mtakumbuka vizuri, November last year, JWH and his wife Linda, visted Dubai (that was before anfield expansion kuanza), so WE CAN DREAM FELLAS.
inasemekana kuwa kuwa tarehe 1 JULY, ni siku ambayo LFC fans tutaskia kitu kuhusu Club, inaweza ikawa kuhusu appoitment ya Assistant Manager (nahisi atakuwa Pako), au ikawa Benteke, au Rodgers kupigwa chini (?) Au Shaikh ata-take over (swali ni je anaweza kutake-over kabla ya expansion haijakamilika?)..
Interesting week AHEAD..let's HOPE for the Best..
Ndugu zako wamewapiga chini kina Poscoe na Marsh "kisa" hawana Experiance yoyote Europe, then wanaenda kuchukua LFC U16 and a championship Coach kuwa assistant coaches..
HAHAHAHAHAHAHAHAHA!
Ila tulikuwa tunajisumbua, kwa Ego ya Rodgers asingeruhu kuwa na mtu ambaye kamzid kwa kila kitu kwenye coaching stuff ya LFC na yule ambaye anaweza akamchalenji kimaamuzi (Pako or Rene)
Ishakuwa Nailed, kuwa tutampoteza Coutinho NEXT SEASON.
Utanifanya nisiangalie tena games za liverpool.