Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa kitu pekee kilichobaki ninawaona marafiki wetu wa Karibu Arsenal wakiombea tupoteze game 1 tu na tushinde zote zilizobakia ili tusivunje unbeaten Record yao teh teh teh teh teh teh teh teh
 
Salah gave us 2 world class performances kwenye FIFA club world cup, yet credits alizopewa ni ndogo sana..

Yes, y'day he had a poor game, but Mane had a poor game too (alitoa assist but ni kitu ambacho hata Salah huwa anafanya akiwa na off game)..


Front 3 pekee aliyekuwa vizuri jana ni Bobby tu, but why ni yeye pekee anayekuwa scapegoated? he's been a world class player for us tangu amekuja LFC, been on & off form for few months, because tunasahau kuwa tangu aje LFC, ndiye mchezaji aliyecheza minutes nyingi sana chini ya Klopp, so ilikuwa lazima fatigue impate baada ya kucheza kwa high pace/power for 2 seasons in a row, Yes yupo off form, but ana goals si chini ya 13 na assists 7, kwa competitions zote msimu huu, hiyo siyo idadi ndogo hiyo, kuna STs bado wana-struggle kufikisha hiyo idadi this season.

few weeks ago, me & Ed tulikuwa tuna-discuss kuhusu form ya Firmino, (he was having bad games), but now tunaona jinsi anavyotuokoa kwa his important goals, huwezi amini kama alikuwa kwenye very bad patch few weeks zilizopita, front 3 wanacheza games nyingi sana kwasababu hatuna players ambao wana quality sawa na wao kwaajili ya ku-cover places zao kwenye games muhimu, na ndiyo maana wanacheza week in, week out, wanachoka but bado wanaendelea kutupa results tunazohitaji kila siku, kuna club ipo jiji la manchester ina options za kutosha sana kwenye foward line yao, but tumeipita points za kutosha kwenye title race, because tuna front-3 ambayo inajitahidi kila kukicha kutupa results bila kuchoka, but ikitokea wameingia kwenye bad-patch watu wanaanza kuwaongelea vibaya, especially Salah.

Kuna jamaa hapo anasema Salah siyo team player? How kisa alivyotoka dk ya 70+ tulifunga goals 3? forgeting the fact kuwa seconds baada ya Salah & Keita kutoka tulipata penalty, ambayo ilitibua mipango yote ya Brendan Rodgers (low block with Counter), forgeting kuwa first half yote Leicester walikuwa weme-sit deep na kusubiria counters (hence Vardy managed very few touches kwenye box letu), but baada ya goal la 2, Rodgers decided to attack us, and that was his end kwa jana, as he allowed us to exploit more space kwanzia katikati mpaka upande wa kulia, sub ya Milner ilikuwa ni ku-ease down temple ya game na ku-block counters za Leicester (as Keita alianza kuchoka, it was reasonable as alikuwa amecheza dk za kutoka at qatar), so the sub was spot on, but baada ya Milner kufunga lile goal, game ikawa open, na kutufanya tucheze mpira wetu wa siku zote as we switched to 4321 na kumaliza game, but mtu anayeangalia mpira kiushabiki atakwambia ilikuwa ni kwasababu ya Salah kutoka, Keita was WORLD CLASS y'day controlled the entire MF kwenye first half & second half mpaka alivyotoka, (he was the main core kwa jinsi tulivyodominate Lei's MF), but naye alivyotoka ndiyo tukafunga 3 goals, so nae siyo team player? kwa mtu yeyote anayeangalia mpira angegundua kuwa Lei ABADONDED their game-play baada ya kuwafunga goal la pili.

I hate it when watu wanakuwa na agendas na players ambao wametufikisha hapa tulipo leo, bila save ya Alisson na GOAL la Salah against Napoli leo hii tusingekuwa na Trophies zaidi ya 3, Shabiki wa LFC unakuwa unashindwa kujivunia mchezaji ambaye kwenye kila records za EPL yupo, unapomzungumzia kina Shearer/Henry/Rooney/Lampard etc kwenye EPL goal-ratios jina la Salah lazima litakuwepo, but unakuta kuna ignorant LFC fan anakuwa na agenda na mchezaji wa namna hii ambaye anachezea team yake anayoi-support.

Yes, Salah is just a player, & he's in no-way bigger than the club, & just like any other player, hana immunity ya criticzim kabisa, but when you want to criticze mchezaji aina ya salah, ni lazma uweke stupid agendas pembeni, na kama huwezi kabisa kuwa na ethics za criticizm, ni bora usifanye kabisa hivyo because kuwa na agenda dhidi ya mchezaji calibre ya Salah unaonekana ni mpumbavu..

He's not a SHIT or AVERAGE player, he's WORLD CLASS player, personally huwa nakuwa na agenda/dismiss SHIT/AVERAGE players because they bring NOTHING to the team, i'll criticize Salah like just any other player, but having an agenda against him? Man thats so stupid, this dude played a HUGE part kwa mafanikio tuliyonayo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Honestly na-wish game ya kesho asicheze kabisa apate muda wa kupumzisha mwili lakini nikikumbuka we need to push on the gap, man anatakiwa atokee bench.

Bobby kurudi kwenye form kumfanye Klopp ampumzishe Salah
 
MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.

Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.

Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.

Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.

Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.

So, every player should be hold accountable.
 
MosDef naona leo kawashukia watu mazima mazima.

Kuna mida Mo Salah anazinguaga, mahali pa kutoa pasi analazimisha kupiga wakati wenzake wako very open, kuna dribbles anafanya kwenye msitu wa watu hazifanikiwi lakini atarudia tena na tena.

Recently, ameanza pasi za visigino, ambazo nyingi zinakuwa zinapotea.

Hii tabia ya eti mchezaji fulani hatakiwi kusemwa kwa sababu ni World Class I personally disagree with it. Kwa sababu huu ndiyo mwanzo wa kutengeneza monsters.

Mtanikosoa kwa hili: Kuna times Mo alikuwa ni mchoyo kupindukia na Klopp alikuwa hazungumzi kitu mpaka Sadio akaamua kui address kwa kuonyesha frustrations baada ya kutolewa, atleast from there kajitahidi kubadilika.

So, every player should be hold accountable.
Hahahaha kuna zile nafasi unaziona hadi unasema daah tatizo ni nini


Nadhani Kinachomuumiza Salah ni kutokuwa na magoli mengi ukizingatia amechukua back to back golden boot, so nadhani na yeye Ana lengo la kila msimu awe na goli kadhaa kwenye competitions zote
 
Hahahaha kuna zile nafasi unaziona hadi unasema daah tatizo ni nini


Nadhani Kinachomuumiza Salah ni kutokuwa na magoli mengi ukizingatia amechukua back to back golden boot, so nadhani na yeye Ana lengo la kila msimu awe na goli kadhaa kwenye competitions zote

Na hapo ndipo tatizo linapoanzia, shida ni pale anaporudia kosa lile lile zaidi ya mara 5 ndani ya mechi moja na haambiwi.

Sadio Mane huwa anajitahidi sana kumwonesha kwamba umezingua, ila Klopp nahisi anakuwa kama anawaogopa wachezaji wake kuwaambia. Anatumia style ya kuwabembeleza.
 
Hii Ratiba ni kweli bahati mbaya au ni makusudi?

Mancity kacheza na Leicester City, then Next game Leicester tukachezanae sisi.

Jana kacheza na Wolves, then next game Wolves tunae.

Then Man City atacheza na Sheffield, baada ya hapo Sheffield tutacheza nae sisi.

Amazing!
kwa mtazamo wangu hii ratiba ni rafiki kwetu kwani sina hakika kama nguvu wanazotumia wachezaji wa timu hizo wanapokutana na city wataweza kuzimaintain wanapokutana na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom