Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[h=1]Liverpool agree £12million Nathaniel Clyne deal with Southampton[/h]
4539780.jpg

Southampton have accepted Liverpool 's improved offer of £12.5million for right-back Nathaniel Clyne.
The England international has been granted permission to discuss personal terms with the Reds and undergo a medical when he returns from his holiday in America.
Clyne is expected to put pen to paper on a five-year contract and will become Liverpool's sixth signing of the summer following the completion of deals for James Milner, Danny Ings, Adam Bogdan, Joe Gomez and Roberto Firmino.
Boss Brendan Rodgers had pinpointed the 24-year-old defender as the ideal replacement for Glen Johnson, who has left the club as a free agent.

Liverpool's initial offer of £10million was rejected last month but they returned with a higher bid and Saints have agreed to do business.
Clyne was down to the final year of his existing contract and had made it clear he wouldn't sign an extension.
His heart has been set on a move to Liverpool and Southampton had already prepared for his exit by signing full-back Cedric Soares from Sporting Lisbon.

Source: Liverpool Echo
Writter: James Pearce
 
Clynne Deal limekubali ni 10.5m kwenda 12.5m safi sana Iyre endelea Kabla Rogers hajarudi akirudi kazi yake yupi wa Kuuza nasikia Brendan Rogers anataka kumpa Joe Allen Kuwa Assistant:angry: wake msimu uliopita nilifurahi sana Lovren kuja mara furaha ilipotea alivyoanza kucheza ila namatumaini Lovren atafanya kweli huu msimu so Clyne nafurahia kwa ndani ndani tehtehteh JOE ALLEN akiondoka nitashabikia kama Rossi World Cup italy au Marehemu Rashidi Yekini Mungu amrehemu.
 
Andy Cole ka chambua kuhusu Nathan Clynne kwenye Twitter yake Kwamba Nathan Clynne ni Best Deal LFC wamepata, kazi ipo kwenye upangaji wa Brendan Rogers na anavyoichezesha timu.... #JoeAllenOutplz anauwa vipaji Ya mtu kuitwa Middle.
 
Clynne Deal limekubali ni 10.5m kwenda 12.5m safi sana Iyre endelea Kabla Rogers hajarudi akirudi kazi yake yupi wa Kuuza nasikia Brendan Rogers anataka kumpa Joe Allen Kuwa Assistant:angry: wake msimu uliopita nilifurahi sana Lovren kuja mara furaha ilipotea alivyoanza kucheza ila namatumaini Lovren atafanya kweli huu msimu so Clyne nafurahia kwa ndani ndani tehtehteh JOE ALLEN akiondoka nitashabikia kama Rossi World Cup italy au Marehemu Rashidi Yekini Mungu amrehemu.

Hahahaha!!!

Our welsh Xavi won't be leaving Anytime SOON..LOOOL..
 
Barret saying we're still in for Benteke..

Me naona signing ya ST iamuliwe na committe tu, hilo liBenteke la nini LFC, yaan ST's anaowatakaga Rodgers ni wa kis*nge tu..katuletea mikina Aspas, Borini, Lambert, Ings, bado anataka kuleta zigo jingine..
 
Kwa ratiba tuliyo nayo kama tukifanya vizuri kuna nafasi kubwa ya kumaliza hata top 3 kama BR atawachezesha wachezaji wetu kwenye preferred position.

Let's take Europa seriously, its better to have it kuliko kutoka kapa na pia ni point ya kukomaza wachezaji wetu na kupata experience.

Hivi Jovetic imeshindikana kupatikanika maana pale city he is warming the bench tu
 
Doh! Nimependa jinsi ulivyo na matumaini baada ya hiyo signing ya a promising young talent. Hadi unawaza kumaliza top 3 na kushinda UEFA Europa Cup!!! Shikamoo kwa hili.

Ila jambo moja linanishangaza jinsi humu watu walivyo wanazi, na siyo wapenzi wa soka. Kuna watu humu waliponda na kukejeli usajili wa Depay United. Wengine wakisema hata Sterling ni mzuri kuliko! Sasa leo watu hao hao wanamshangilia Firmino kama vile mkombozi wa Loserfools!

Anyways, Firmino is a talented and promising player. I hope he will settle and do well.

Kuhusu Jovetic, huyu si ameshasajiliwa na Juventus ama?
 
Msimu uliopita Emre Can alichanganywa sana kupangwa maeneo tofauti tofauti ndani ya muda mchache na kuathiri maendeleo yake. Markovic pia alipangwa wing back upande wa kushoto na kulia wakati alikotoka alikuwa anacheza nyuma ya striker.
Pia Adam Lallana ambaye hana pace lakini alimtumia karibia maeneo matatu msimu uliopita katika kipindi kifupi jumlisha na majeruhi hivyo kumzuia kusettle.

Philippe Coutinho alicheza pembeni baadhi ya game wakati eneo analoweza kucheza na kuleta mafanikio namba 10 na kidogo akicheza kiungo deep.

Jordan Henderson naye alicheza katika namba tofauti msimu uliopita kadili alivyoagizwa na kocha.
Mkongwe Gerrard naye aliishia kuhangaishwa asijue eneo gani anaweza kutulia ukizingatia na umri wake na hata waliomzunguka walikuwa wakibadilika badilika nafasi zao.

James Milner ambaye anatarajiwa kuziba nafasi ya Gerrard ambaye man city alipangwa maeneo asiyopenda naye anakuja kwa BR anayebadilisha position za wachezaji.
Mateo Kovacic ambaye hajijui kama seheme anayoweza kufanikiwa ni namba 10 au acheze kama Andrea Pirlo naye anahusishwa kusajiliwa nasi.

Kuwa na wachezaji wanaoweza kucheza maeneo tofauti tofauti ni jambo jema lakini ukifanya mabadiliko mara kwa mara inaleta shida kwa sababu timu inakosa umoja na maelewano.

Mfano Wenger naye anao viungo wanaoweza kucheza maeneo tofauti tofauti lakini hakuwabadili mara kwa mara na kubadili formation na hii ilisaidia kujenga umoja na maelewano uwanjani. Kwa upande wa BR alikuwa tofauti hasa akitangulia kufungwa au akitaka matokeo angeweza kubadilisha position na subs na kupunguza maelewano.

Tumeshuhudia BR akishindwa kujua mfumo gani autumie msimu uliopita. Pamoja na ukweli kwamba mtindo huo ulisaidia sana msimu wa 2013-14 ni kwa sababu alikuwa na muda wa kutosha maandalizi kujenga maelewano kabla ya mechi.
BR OUT
 
Doh! Nimependa jinsi ulivyo na matumaini baada ya hiyo signing ya a promising young talent. Hadi unawaza kumaliza top 3 na kushinda UEFA Europa Cup!!! Shikamoo kwa hili.

Ila jambo moja linanishangaza jinsi humu watu walivyo wanazi, na siyo wapenzi wa soka. Kuna watu humu waliponda na kukejeli usajili wa Depay United. Wengine wakisema hata Sterling ni mzuri kuliko! Sasa leo watu hao hao wanamshangilia Firmino kama vile mkombozi wa Loserfools!

Anyways, Firmino is a talented and promising player. I hope he will settle and do well.

Kuhusu Jovetic, huyu si ameshasajiliwa na Juventus ama?

Ni swala la matumaini tu, kunaa mtu alikuwa anategemea kama msimu 2013/2014 Liverpool ingekuwa title contender??? Basi acha tu niwe na matumaini. Tusubirie tuone nini kitakokea tunaweza kufanya vizuri au vibaya pia so to finish in top 4 and winning Europa league its possible

Firmino hawezi kuwa mkombozi wa Liverpool per se, ila anaweza kuwa na mchango wake katika mafanikio tutakayopata this season. Halafu siyo kwamba tuna timu mbovu saana ila tulikuwa tunahitaji ku-strength some of the departments wao wameziba sehemu moja tu ya beki, Liverpool bado tuna shida ya defensive mid-fielder na striker.

Kila mtu anamtazamo wake, Depay is one of the you talents in Europe, kama atakuwa-nurtured vizuri he will become all-round striker. I do rate him high uamzi wa yeye kwenda wapi ulikuwa ni wake

Sijasikia Jovetic kusajiliwa na Juve, ninachojua ni kuwa Juve wameshasajili striker wawili, Dybala na Mandzukic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom