Firmino....what a signing....
Lakini utashangaa BR anaanza kumchezesha RB
he is not a striker
£29m is a lot of money...
Still I think he's a very good player and
has a good chance of being a successful
signing. But then again, it is Brendan
Rodgers.
NOPE, haupo sahihi kwenye Fee..
Skysports, Ben Smith (BBC), Barret (The Times), Pearce (Echo), wameConfirm kuwa INITIAL fee ni £22m
with Bacca and firmino, plus clyne and milner... 4-4-2 seems more appropriate
cant wait to see how Ings, Sturridge, Origi feature, plus how you see Baloteli palys...
What about Ibe, Ings, and how can Can command a central role while he has not been tested??... he needs time
Yah, hyo £22 ni iliokua paid, but there will be add on if LFC will win trophies
Yeah, so kwa mantiki hyo, we've paid only £22m..
Yap, gud signing so far
lazaro may be supassed by Ojo, Sinclair and Ibe
Nakubaliana na wewe Sinclair anakuwa good player ila striker Wengi apelekwe Derby kwanza tukija kwa Ojo nimemuona anavyocheza si mchezaji mbaya ila ni Player ambaye ataishiaa kwenda kuuzwa si wa 1st team Ya LFC mchezaji anayetakiwa kupewa nafasi ni Llori na Lloyd Jones.Hata Firmino akichezeshwa kama RWB msimu mzima ataonekana ni mbovu tu man..
Markovic ni mchezaji mzuri sana, he was just badly managed, kama umeangalia games za serbia recently, utaelewa ni kitu gani namaanisha, kila mchezaji anakuwa judged kwa ubora wake kama akichezeshwa kwenye role yake husika.
Sinclair? May be, but OJO will never make it a LFC..
Msimu huu, tuna EL, FA cup and Capital league Cup, so ni lazma kuwe na wide squad,
Nadhan katika first team tutakuwa na 3 options kwa makeeper ambapo ni Migs, Bogdan and Ward (ambaye katoka kusign his new contract), tutakuwa na 5 options kwa CB's ambapo ni Skrtel, Sakho, Lovren, Ilori and (oh Well) Kolo..tutakuwa na 4-5 options kwa fullbacks ambapo ni Moreno, clyne (pending), Manquilo, Flanno, and Jose (kama panga halitompitia), katika Midfield, tutakuwa na 6 options ambapo Lucas ndo the only DM (well, inasemekana kuwa rodgers siyo fan wa DMs kama Guardiola) so CMs ni Can, milner, Henderson, Kovacic (pending), ambapo Kovacic ni modric esque, anaweza akacheza kama 2nd holding CM na pia kama CAM na pia tuna Allen..and katika CAM tuna Coutinho, kwa upande wa wings tutakuwa na option 2, which is Markovic and Ibe, Firmino is not a striker, but rodgers anataka acheze sambamba na ST mbele, kwa upande mwingine both Firmino, Kovacic, Cou and Markovic can play kama AM, roaming behind a ST, but katika 4-4-2 namuona Bobby akiwa infront kabisa..then kwa ST, nadhan tutakuwa na DS, Bacca/?. Ings, Origi returns inategemea na kuuzwa/kubak kwa ballo..eventhough hata origi akija nahisi atakuwa anacheza sana wide..
Kwan Maoni yangu Firmino ni wa Kawaida ni Middle anayeweza Kuwa Striker na LFC bado hawajui nini wanataka ,Strikers weeengi na Middle za Kwenda Mbele wakati kunachohitajika LFC ni DM kama Illarramendi wa Real Madrid au DM wa Nguvu kuweza kuvunja Game timu zisicheze au kufanya CB za LFC zipumue, kengine LFC wanatakiwa ni RB mmoja na Left Back Mmoja na Kuomba Flannagan arudi mapema basi ila sie tunajaza ma Attacking Middle na Strikers kibao bila Fikra na Brendan Rogers yupo Holiday atakuwa Iyre anaenda na magazeti anajaribu kumshawishi mwenye pesa alafu tunalaumu Wenye pesa wakati tunapoteza pesa zao. Brendan na Iyre wafukuzwe tu. Firmino good player ila si mchezaji atayebadilisha matatizo tuliokuwa nayo yy sawa Na Lallana tu lete Clynne lete DM nitawaelewa unataka Striker lete Lacazette sio bacca wala Benteke.
Nakubaliana na wewe Sinclair anakuwa good player ila striker Wengi apelekwe Derby kwanza tukija kwa Ojo nimemuona anavyocheza si mchezaji mbaya ila ni Player ambaye ataishiaa kwenda kuuzwa si wa 1st team Ya LFC mchezaji anayetakiwa kupewa nafasi ni Llori na Lloyd Jones.