Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Believe guys..they definately have seen something in him that you don't.
 
Another season to be f**ked up is coming with BR.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Matokeo mazuri sana kwetu haya!Anafukuzwa huyu

Mkuu pole sana!!ila nadhani utakua umeyasadiki maneno yangu kua ndoa ya BR na FSG ina kitu, manager mwengine hawezi funga ndoa na FSG ni BR tu na ka CV kake kabovu
 
Mkuu pole sana!!ila nadhani utakua umeyasadiki maneno yangu kua ndoa ya BR na FSG ina kitu, manager mwengine hawezi funga ndoa na FSG ni BR tu na ka CV kake kabovu

I'm speechless mate!
Nilipo soma kuwa Klopp anachukua likizo ya soka nikajua BR kabaki,lkn nilipo soma kuwa nguli Ancelotti anawatolea nje Milan nikajua BR anaondoka!

Nimetupa jezi zangu zote nilizonunua msimu huu za Liverpool,hata jezi za binti yangu pia nimetupa
 
Binti yangu kanielewa kuwa tunapumzika kushangilia soka!Hata package ya kuona selective games za Liverpool tu ktk EPL sitanunua

August hii wakiweka game yyt na watch hiyo hiyo siyo tena za Liverpool!BR is more than a joke

Duh...haya bana! Karibu kwetu..

Btw - serious qn - mlipofika 18 epl cups, utd walikuwa na ngapi? N ilikuwa mwaka gani? #thanks
 
Duh...haya bana! Karibu kwetu..

Btw - serious qn - mlipofika 18 epl cups, utd walikuwa na ngapi? N ilikuwa mwaka gani? #thanks

Man U hawaji tena kuchukua EPL hadi binti yangu atamaliza chuo na atapata hadi familia yangu!Binti yangu ana miaka 3 sasa

Makocha kama LVG ni BR mwingine tofauti yao umri tu
 
Man U hawaji tena kuchukua EPL hadi binti yangu atamaliza chuo na atapata hadi familia yangu!Binti yangu ana miaka 3 sasa

Makocha kama LVG ni BR mwingine tofauti yao umri tu

real?? LVG = BR??
mkuu Malafyale mbona unaujua sana mpira, imekuaje hapa? au ndio kupaniki?
van gaal popote anapoenda ana make history starting to munich+barca+holland now is for utd,
unakumbuka baada ya webb na SAF kustaafu mlisema utd hata top 4 haitakuwepo simply eti kulikua na kampeni dhidi ya liverpool, we are back in top four mmebaki mnamlilia BR, van gaal anaweza asitupe PL but kumfananisha na rodgers ni matusi kwa total futball in generall.
 
Last edited by a moderator:

LVG alifukuzwa Barca na Munich
Holland HAIJAWAHI KUCHUKUA kombe lolote chini ya LVG
Hata Man U mtaanza kupata vikombe akija back Sir Ferguson na mwakani tu mtamrudisha gwiji huyu wa soka
 
LVG alifukuzwa Barca na Munich
Holland HAIJAWAHI KUCHUKUA kombe lolote chini ya LVG
Hata Man U mtaanza kupata vikombe akija back Sir Ferguson na mwakani tu mtamrudisha gwiji huyu wa soka

mi ninachojua barca, ajax, munich kote aliwapa ubingwa, holland kawafikisha nusu fainal kwa kikosi chao kile chakina de jong, hata tacticaly lvg is far away from BR, lets wait, BR msimu wake wa kwanza mlikua wa 7 then 6 ndio mkaja 2 af kawarudisha kule kule mlikozoea
 
Tatizo letu ni FSG !! Hawa wamiliki wa kimarekani ni shida,, wao wako comfortable tu hata tukiwa mid-table team as long as we will start to make profit,,haya tutauza sterling na kununuaa maguta kibao yaani kama ile ya suarez .Halafu Hawa Saints wametuloga au maana tunakomaa na wachezaji wao? Eti Clayne shuuuup,,,mie siku hizi hata mikeka naweka against Liverpool dahhh!!!Mungu saidia
 
I'm speechless mate!
Nilipo soma kuwa Klopp anachukua likizo ya soka nikajua BR kabaki,lkn nilipo soma kuwa nguli Ancelotti anawatolea nje Milan nikajua BR anaondoka!

Nimetupa jezi zangu zote nilizonunua msimu huu za Liverpool,hata jezi za binti yangu pia nimetupa

Mkuu, huwezi kutupa jezi za timu eti tu kwa sababu BR anaendelea kuwa manager. Liverpool fc ni kubwa kuliko br. Hata siku moja siwezi kuidharau timu yangu kwa sababu ya mtu mmoja. Wewe una moyo wa ajabu sana unayeweza kufanya hivyo. Si ajabu tukikuona soon umenunua jezi za Chelsink au Manure.
 
SKRTEL AMEIPIGA CHINI OFFER MPYA YA MKATABA, FSG WANATAKA KUMPA MKATABA WA AINA "PAY AS YOU PLAY".

Unawezaje kumuoffer mchezaj kama Skrtel aina ya mkataba kama huo?, he's 30 and not 40+, kwann team inawadharau sana loyal servants tulionao? Agger, Reina, stevie and now skrtel, who's next? Lucas?? Tutabak na nan kwenye team?? Kolo and Milner??

Owners wasipofanya kitu cha kuibadilisha hii team, soon tutabakia kuwa kama Aston Villa and Newcastle, and it can be kuanzia next season,

this club is finished.
 
3rd June ikipita Rodgers bado yupo LFC, ndo itakuwa ishatoka hiyo..tutaendelea kuwa nae..

So tusubirie tuone j5 itakuwaje..

Next week is huge.

Rodgers hajafukuzwa.

Kabaki lfc.

Mnaye...amewaganda kama ushuzi wa marham...

Man U hawaji tena kuchukua EPL hadi binti yangu atamaliza chuo na atapata hadi familia yangu!Binti yangu ana miaka 3 sasa

Makocha kama LVG ni BR mwingine tofauti yao umri tu

Ona huyu naye...kisa Blandina anabaki Loserfools ndiyo upoteze ufahamu hivi?!?
 
Mnaye...amewaganda kama ushuzi wa marham...

Ona huyu naye...kisa Blandina anabaki Loserfools ndiyo upoteze ufahamu hivi?!?

mkuu malafyale namuelewa sana ila sijajua amewaza nini kuongea hvi, any way najua akili ikitulia akishakubaliana na matokeo ya kuendelea kuwa na BR atatengua kauli yake.
ndagha nkamu bho bhunyambala.
cc Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Beki wetu Nguli Skrtel KAKATAA kusaini mkataba mpya na ataondoka mwisho wa msimu!!Sababu kubwa ya kuondoka ni kuwa offer aliyo pewa ni mshahara mdogo sana!

Kweli meneja tunae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom