Tuna Managers wawili ambao wote wana historia ya kutimuliwa kwenye clubs walizokuwa wanafundisha huko Championship..huyo kocha msaidiz alitimuliwa Bristol City, mwenzake Rodgers alitimuliwa Reading..
Team imeyumba last season, FSG labda wakahisi kuwa ni kwasababu ya signings na backroom, kwamba Committee inachukua nafas kubwa sana kwenye signings, (na ndo utetez wa Rodgers), so ili kuweka vitu sawa, FSG wakaona ngoja tumpe power zaid Rodgers kwenye usajili, Matokeo yake ndo hivyo tunaletewa Ings, Milner, Bogdan etc, and AM SURE firmino ni signing ya Committee kama Ilivyokuwa kwa Coutinho, Sturridge, Moreno, Can, Markovic, Sakho, Manquilo, Balotelli, Mignolet etc..yeye ndo katuletea Lovren, Lambert, Lallana (for £45m), Aspas, Borini, Allen, Luis Alberto, kolo toure, etc, hata Clyne ile syo signing ya Rodgers coz huwez ukawa umemsajili Clyne na Firmino then ukawa unamtaka Benteke..alikuwa anamtaka Trippier wa Burnley(kaenda spurs now I think) yule OVER clyne,
Juzi napitia news za LFC, naona Pearce anasema LFC are happy to let Bacca sign for AC MILAN, and wapo tayar kuspend £25m kwa Benteke..mtu ukisoma hivyo vitu unacheka tu, ukiachana na signing mbove ya benteke ni kwamba jamaa nae ni injury prone, last 2 seaons kacheza game 52-56, sturridge kacheza game 43-46, so unaona kabisa hawatofautiani sana kwa majeruh, asa unamleta huyo ST, then inafika kipind wote wanaumia, that means firmino atakuwa anacheza na Ings au Origi (hebu jaribu kupicture that Aisee)..
Haya, tumepiga chini Coaches, ngoja tumpe nafas bwana Rodgers atuchagulie kocha anayemtaka, ndo kaenda kutuletea hiyo TAKA TAKA, ije kuwafundisha kina Cou na Firmino..
Rodgers, mzee wa kufanya dreams za watu kuwa kweli, manake kafanya Aspas acheze LFC, Lambert arud nyumban, Lovren kucheza team anayoishabikia, Lallana kucheza LFC, Bogdan kuja LFC straight from Championship mpaka kwenye First team, Ings LOL..
AM CERTAIN kama bado TUTAKUWA NA RODGERS mpaka December na AKIWA AMEBORONGA (which is LIKELY) basi Tumsahau COUTINHO..
Watu wanasema SG alikuwa LOYAL, inaweza ikawa ukweli, lakin kwa enzi zake, alivyokuwa the Most in Demand Midfielder in Europe (with RM, Inter, AC milan, Chelsea etc Keen) na team yetu ingekuwa ni COMEDY kama sahiv, lazma angesepa TU, so me sitamlaumu Coutinho akiondoka for Barca or Madrid, he deserves better..