Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

YEP...he's STAYING
ImageUploadedByJamiiForums1437152434.519352.jpg
 
Guys, nadhani Benteke ndo best option tuliyokuwa tumebakiwa nayo baada ya Reus, Benzema na Lacazette kusema wanataka kucheza champions league. Option nyingine ni Higuan, lakini yuko kwenye decline stage na ni too expensive. Naamini Benteke atafanya vizuri. Uzuri wake ni kwamba ana uwezo wa kufunga magoli. Akiungana na midfielders wetu nadhani atafanya vizuri.
 
Sidhani kwani ben10 anautofauti gani sana na lambert na ballo45
 
Kuna tofauti kati yao.
Lambert kwanza umri umeenda, na uwezo wake wa kumiliki mpira huwezilinganisha na Benteke - Ben is better.
Ballo anatatizo la kusubiri aletewe mpira na akiupata hakumbuki kucheza na wenzie, yeye akipewa mpira anachotaka ni kufunga tu (mbinafsi wa mpira). Lakini Ben anaweza kumiliki mpira, kuhadaa mabeki, na anatumia akili zaidi anapopiga mprira kutafuta goli. Angalia hata clips youtube uone uchezaji wake. Ben pia ni mzuri kwa kujiposition wakati time yake wanashambulia, bila kusahau uwezo wake wa angani - Ballo na Lambert hawana uwezo kabisa angani. Mi naamini atafanya vizuri.
Mkuu, una option nyingine tofauti na Benteke?
 
Hivi jamani baloteli ataendelea kubaki? Yaani huyu jamaa ametucost sana
 
Kuna tofauti kati yao.
Lambert kwanza umri umeenda, na uwezo wake wa kumiliki mpira huwezilinganisha na Benteke - Ben is better.
Ballo anatatizo la kusubiri aletewe mpira na akiupata hakumbuki kucheza na wenzie, yeye akipewa mpira anachotaka ni kufunga tu (mbinafsi wa mpira). Lakini Ben anaweza kumiliki mpira, kuhadaa mabeki, na anatumia akili zaidi anapopiga mprira kutafuta goli. Angalia hata clips youtube uone uchezaji wake. Ben pia ni mzuri kwa kujiposition wakati time yake wanashambulia, bila kusahau uwezo wake wa angani - Ballo na Lambert hawana uwezo kabisa angani. Mi naamini atafanya vizuri.
Mkuu, una option nyingine tofauti na Benteke?

Swali lako hapo juu (red) kuhusu Benteke na ukiondoa akina Lacazette, etc, jibu lake ni hakuna. Benteke is the best we can have at this minute.

As far as am concerned baada ya sasa kupata offensive players wa kutosha, going forward the LFC hierarchy inahitaji ku-focus zaidi kwenye eneo lililoendelea kutusumbua over the past 3 seasons - DEFENCE & A MORE SOLID DEFENSIVE MIDFIELD!

Pale nyuma tunahitaji reliable centre back wa ku-partner na Skrtel week in week out. Sakho is fine but not consistent enough in terms of fitness (huyu jamaa miguu yake ni biscuit kama ya Sturridge!!).

Halafu tunahitaji anchor man pale kati. I know kuna watu wanaamini Lucas is the man but (sorry) that guy has never been my cup of tea. Besides, he's not getting any younger now and there's this concern about his fitness as things hot up in the course of the season.

Who is available in the market for these two key positions?
 
BR does not like playing with Defensive Midfielders....hilo wazo la kununua DM hana...!

nimewahi kusoma hiyo mahali...kwamba yeye philosophy yake,haihitaji DM kabisa,,...he prefers CM over DM...

ndo maana umeona kamsajili mtu kama Milner,ambaye Ni CM..kama Hendo,Allen na Can...kama angekuwa Ana mpango wa DM asingemsajili Milner,angemtafutia Lucas mtu wa kucompete naye...saivi unaona Lucas ndo DM pekee tuliyenaye na hatuwi linked na DM yeyote yule...wewe hujiulizi kwa nini?

Plan ya BR msimu huu anataka kurudisha ile 4 4 2 diamond formation...ya 2013-14 season.

........Mignolet.....

Clyne...Skrtel.....Sakho.....Moreno/Gomez...

...Hendo...Milner......Can...

.........Coutinho........

.....Firmino..

.........................Sturridge/Benteke.....
 
mkuu mi ninachopingana na watu ni kuwaita wachezaji flani wazee wakati wakiwa uwanjani shughuli yake ni zaidi ya wale vijana, ona Leo hii milner kawapatia goli LA ushindi japokua ni pre season, vipi akina ibe vijana wamefanya nn ishu ya kwamba wanamda mfupi wa kucheza I don't care as long as club itawaleta wengine nao watafanya poa, suala la kwamba sijui pesa nyingi mi sijali maana pesa za club mi hazinihusu, mtu akikuwekea ronaldo 30 na sterling hapa utachagua nani? sidhani kama kigezo cha umri kitatumika, refers kikosi cha juve na ubabu wao wamefika uefa final

Kumekuwa na mabadiliko mengi katika maisha ya binadamu. Bahati mbaya mabadiliko mengi yamekuwa na effects mbaya kwenye mambo mengi. Technology imeshika kasi kwenye kubadilisha dunia na hili kwa kiasi Fulani limeamisha mawazo ya watu kuwaza zaidi kwenye biashara kuliko utu and loyalty.

Wengi wanabeza wachezaji wenye umri mkubwa lakini wanasahau kwamba most of them are loyal kwa waajiri wao compare na vijana wa sasa hivi. Apart from being loyal which is very important, lakini pia ni wapambanaji haswa. Mpaka leo man u wanahangaika kupata mmbadala wa Scholes, mpaka leo Arsenal wanatafuta mmbadala wa Viera, Chelsea ni ngumu kumpata Lampard mwingine na kwetu sidhani kama atakuwepo Gerard mwingine…
 
hey....brother...

ndio tuseme Teixeira hujamuona kabisa mkuu?

…ahahahahaha..mkuu The Magnificent bhana…najua teix ni kijana wako…

Kwenye maelezo yangu kuna mahali nimtaja na kumsifu kwamba ametoa assist ya maana…teixeira played well and registered himself with the assist to marko’s goal…
Ningekuwa mkenya ningesema…kijana ako sawa…yaani utafiri hajatoka kwenye operation ya goti…ni hazina kubwa kwa timu yetu kaka
 
..Mkuu MosDef habari za masiku...huyo dogo ni kifaa...

Salama tu brother, Pamoja saaaaana!!!!!

Yeah, Gomez kaonesha uwezo sana kwenye hizi pre-season games.. (2)..

Your thoughts on Benteke????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom