Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Borini anaweza kujoin WEST HAM or LAZIO, inasemekana girlfriend wake hataki kuondoka ENGLAND.

lambert, anatakiwa na WEST BROM, BOURNEMOUTH, NORWICH CITY and MIDDLESBROUGH, but his most likely destnation ni WEST BROM ambapo wapo kwenye maongezi, LFC wants 4.5m

Balotelli's Agent anasema mchezaji wake hataki kuondoka LFC, but inaeleweka kuwa Club inataka kum-LOAN out au kama deal ikija nzuri kumuuza kabisa,

Jose Enrique will be LEAVING too, LOAN au kwa kuuzwa...

And DOMINIC KING anasema we're tracking PSG's left back LUCAS DIGNE....
 
Damien comolli was sacked baada ya kumsign Henderson kwa £21m, pia yeye na Daglish ndo walimsajili Caroll kwa £35m, Charlie Adam, Downing, Coates, Doni etc. bar Henderson (bahati kwake) wote hao waliflop vibaya...yupo right kuhusu last summer biznec, lakin siyo kwa summer hii, kwa sasa LFC wamesajili vizuri, coz usajili wote wa safar hii umefanywa kwa maeneo ambayo tulikuwa dhaifu last season, naelewa kama fans tunataka tuone kina Matuidi, Verrati, Pogba etc wakija LFC, lakin kiukweli HAIWEZEKANI kwa sasa, lakin kwa usajili wa sasa tume-manage kusajili Top targerts zetu zote na ambazo ni UPGRADE KUBWA, tofaut na last summer, Clyne (one of the best 3 RB's in the EPL) ni Upgrade kubwa sana kwa GJ and Flanno, Milner ni upgrade kubwa sana kwa Joe Allen kama CM, Firmino ni Upgrade kubwa zaidi kwa Lallana, [colo=red]Sterling[/color], Markovic etc, Benteke ni UPGRADE kubwa kwa Balotelli, Borini and Lambert, then you have 3 squad players kama Ings, Origi and Bogdan....Me ni mmoja wa mashabiki ambao walikuwa against na Benteke kuja LFC na mpaka sasa bado sjakubaliana na usajili huu (ukizingatia ni £32.5m) but as a LFC fan ntam-back kila mchezaji atakayevaa our famous red jersey na always nitakuwa namuombea mema zaidi ili ashine zaid akiwa na jersey ya LFC.

Hapo kwa Judas Iscariot najua umeteleza mkuu

Kwa sasa nahisi squad yetu iko poa tu no worries at all
 
Borini, Lambert and (Balotelli) wanaondoka this summer, Borin and lambert ni ndani ya hizi week 2, umeona benteke jersey aliyopigia picha ina Number? Coz atavaa number 9 ambayo anaitumia Lambert kwa sasa,

Afu kitu kingine bro, Firmino siyo ST ni AM..

So next season tutakuwa na Striking force ya 4 strikers, DS, Benteke, ings and Origi, ambapo first team ST's ni DS na Benteke, Ings and Origi as backups..

Ila Balo hata asipoondoka msimu huu benchi litamuhusu zaidi
 
Texeira ana creativity kubwa sana kuliko lallana and Joe Allen, LAKINI Usishangae kuona Mr. Brendan kamtoa kwa mkopo tena dogo.

Illori is MILES BETTER than Lovren and Kolo Toure, but usishangae kuona Mr. Brendan kamtoa kwa mkopo tena dogo..

Usishangae kuona JOE ALLEN akianza dhidi ya EMRE CAN, kwa Rodgers yote yawezekana..

Na MOST OF ALL, Usije ukashangaa kabisa kuona LALLANA anapata playing time kubwa zaid kuliko Firmino, Au Firmino kuchezeshwa kama LWB, kwa Mr. Brendan yooote yanawezekana..
 
hapo kwa judas iscariot najua umeteleza mkuu

kwa sasa nahisi squad yetu iko poa tu no worries at all

firmino is miles miles miles better than raheem..
ImageUploadedByJamiiForums1437672272.591067.jpg
 
Texeira ana creativity kubwa sana kuliko lallana and Joe Allen, LAKINI Usishangae kuona Mr. Brendan kamtoa kwa mkopo tena dogo.

Illori is MILES BETTER than Lovren and Kolo Toure, but usishangae kuona Mr. Brendan kamtoa kwa mkopo tena dogo..

Usishangae kuona JOE ALLEN akianza dhidi ya EMRE CAN, kwa Rodgers yote yawezekana..

Na MOST OF ALL, Usije ukashangaa kabisa kuona LALLANA anapata playing time kubwa zaid kuliko Firmino, Au Firmino kuchezeshwa kama LWB, kwa Mr. Brendan yooote yanawezekana..

siku Teixeira atakapoondoka LFC kwa sababu ya kukosa playing time itakuwa the saddest day as a Liverpool fan...

Mbaya zaidi BR akiwa ndio chanzo,....nadhani atachukua nafasi ya shetani...kuwa the most person I hate...
 
Damien comolli was sacked baada ya kumsign Henderson kwa £21m, pia yeye na Daglish ndo walimsajili Caroll kwa £35m, Charlie Adam, Downing, Coates, Doni etc. bar Henderson (bahati kwake) wote hao waliflop vibaya...yupo right kuhusu last summer biznec, lakin siyo kwa summer hii, kwa sasa LFC wamesajili vizuri, coz usajili wote wa safar hii umefanywa kwa maeneo ambayo tulikuwa dhaifu last season, naelewa kama fans tunataka tuone kina Matuidi, Verrati, Pogba etc wakija LFC, lakin kiukweli HAIWEZEKANI kwa sasa, lakin kwa usajili wa sasa tume-manage kusajili Top targerts zetu zote na ambazo ni UPGRADE KUBWA, tofaut na last summer, Clyne (one of the best 3 RB's in the EPL) ni Upgrade kubwa sana kwa GJ and Flanno, Milner ni upgrade kubwa sana kwa Joe Allen kama CM, Firmino ni Upgrade kubwa zaidi kwa Lallana, Sterling, Markovic etc, Benteke ni UPGRADE kubwa kwa Balotelli, Borini and Lambert, then you have 3 squad players kama Ings, Origi and Bogdan....Me ni mmoja wa mashabiki ambao walikuwa against na Benteke kuja LFC na mpaka sasa bado sjakubaliana na usajili huu (ukizingatia ni £32.5m) but as a LFC fan ntam-back kila mchezaji atakayevaa our famous red jersey na always nitakuwa namuombea mema zaidi ili ashine zaid akiwa na jersey ya LFC.

Hapo kwenye bold......you have nailed it. Comolli should keep his reactive opinions to himself!!
 
siku Teixeira atakapoondoka LFC kwa sababu ya kukosa playing time itakuwa the saddest day as a Liverpool fan...

Mbaya zaidi BR akiwa ndio chanzo,....nadhani atachukua nafasi ya shetani...kuwa the most person I hate...

Rodgers mwenyewe ndo alimleta dogo LFC, so ni yeye ndo atakayeweza kuharibu au kukuzq kipaji cha dogo..

Leo kwenye 60 minutes training dhidi ya Felda utd, kapiga bonge la goal, rocket ya 40 yard..
 
Rodgers mwenyewe ndo alimleta dogo LFC, so ni yeye ndo atakayeweza kuharibu au kukuzq kipaji cha dogo..

Leo kwenye 60 minutes training dhidi ya Felda utd, kapiga bonge la goal, rocket ya 40 yard..

Hapana mkuu MosDef...

Teixeira amekuja LFC January 2012 kwa around £830,000 fee under Frank McParland...(academy manager wakati huo)

Rogers wachezaji karibia wote ambao hajawanunua yeye anawaondosha pale...sema Ana kimavi Sana..make ananunuaga vimeo tu...Sterling,Teixeira,akina Suso..sio ununuzi wake...

Teixeira alikuja LFC na timu yake ya Sporting Lisbon mwaka 2011 kucheza na madogo U18...wakatufumua goli 9 kwa bila...ka Teixeira kakipiga goli 5 peke yake siku hiyo...January iliyofuata McParland akamvuta LFC academy...

Rogers namchukia Sana siku hizi aisee...sijui kwanini tu make kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kunitoka kabisa...

By the way,I will always back my beloved team LFC.
 
Last edited by a moderator:

Thought it was Rodgers, coz alikuja mwaka mmoja na dogo..unakumbuka game ya Fulham ile tuliyoshinda 3-2...BR was quoted saying Joao ilikuwa ni signing yake..LOL, kumbe lilikuwa changa...

Thanx kwa ufafanuzi though...imekuwa njema zaidi..
 
Last edited by a moderator:
Liverpool have 8 strikers
1.Benteke
2.Origi
3.Balotelli
4.Sturridge
5.Lambert
6.Borini
7.Firmino
8.Ings
I guess Brendan Rodgers will play the 1-1-8
formation ., lol
# RodgersNeedToGoForMedical .

...Firmino siyo striker
 
Wakati Danny Ings anasajiliwa LFC sikuvutiwa na usajili wake....honestly...

nimejaribu kumuangalia vizuri wakati huu pre season,nimebaini he is a decent signing IMO.

akipata playing time na pressure ndogo...he is much better than Origi..

I can see him scoring 15+ goals in all competitions this season....

Ningekuwa BR ningemuacha Balotelli nimtoe kwa mkopo Origi tena..palepale EPL

Naamini Balotelli has still got something to offer,really!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom