Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa hii Liverpool ya kuunga unga niite club bingwa??? Acha utani bwana!![emoji41][emoji41]
 
Huyo man city kashindwa nini mzee huko ucl? Chelsea unayoijua wewe imechukua mara moja tu, epl wamebeba mara ngapi?
Achana na Chelsea kabisa.

Mambo tunayofanya kwa sasa ni hatari kwa afya ya Liverpool na timu nyingine za kuunga unga kama arsenal, man u..

Sisi huwa tunafanya 'Impossible' kuwa 'Possible'

Ninyi asipokuwa salah na mane basi hauna timu apo.

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ninyi munapangiwa wakina Genk kwa nin musifike mbali?? Pangwa na wanaume wakina Ajax, Chelsea..

Halafu UCL ni game of chance..

Subiri uone msimu huu sisi tutafanya nini..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Chelsea na Arsenal miaka yao yooote duniani kwa pamoja wamechukua UCL 1 (ya chelsea hiyo), na hapo tunaambiwa UCL ni rahisi mno.
Niambie ugumu uliopo kwenye UEFA.

Niambie ugumu uliopo kwenye EPL.

FA inaweza kuwa ngumu kuliko UEFA[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Porojo
Ohh Klopp hawezi shinda final
Kashinda mbili
Sasa wavimba macho mnakimbilia kwenye VAR
Tumepiga Mungu mtu wenu wa soka 3
Hadi January gap itakua points 15+
Klopp hafanyi kosa mara mbili

Msimi uliopita kuna Watu walilalamika sana kuwa Liverpool inabebwa kwahiyo Wakafurahia ujio wa VAR na kuna mshabiki wa Chelsea ambae Post yake nimeshindwa kuiona alisema Msimu uliopita kungelikuwa na VAR Liverpool isingeingia Top Four. Lakini cha ajabu VAR imekuja sasahivi wanailalamikia tena. Sasa sijui wanatakaje?

Where is VAR?[emoji22][emoji22][emoji26][emoji27][emoji21][emoji21]. Msimu huu mmekula point 15 kwa wizi huu.....figisu nying tuuView attachment 1063599

Naona keita anafunga goli lake la kwanza akiwa na liverpool. Msimu ujao VAR ipo kazin


Liver mwaka huu magoli yanayotokana na offsides ni mengi mno. Salah alikuwa offside wakati anapiga cross.
Msimu ujao VAR kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hao pamoja na Washabiki wa Chelsea walifurahia sana ujio wa VAR wakiamini kuwa inakuja kumkomoa Liverpool! Hatimae kibao kimegeuka kwa.
 
Aahgh hizi ni pumba tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ili litakuwa ni li jamaa Sema linatafuta attention tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…