Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani
Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
Bahati Nzuri Mimi Nadiscuss Mpira si-discuss Mupasho