Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi tatizo nililoliona ni Chelsea kujaribu kucheza mpira. Nimezoea kuona Chelsea wakifanya uhuni wa kujiangusha angusha na kumlalamikia mwamuzi, kumzunguka mwamuzi na kutumia maguvu kama wanacheza mieleka. Kwa hiyo ni bora warudie mieleka tu na maigizo mengineyo na sio kujaribu kutandaza mpira mwanana. Jana pia walipunguza ku-park lile basi. Hayo ndio matatizo niliyoyaona mimi. Niseme tu kuwa nilifurahi kwa Timu ninayoishabikia kushinda kiustadi na kiufundi na iliweza kuisambaratisha Ze Buluuziiii.

hahaaaaa, Nonda katika ubora wako, naomba wasamehe hawatarudia tena.
 
Last edited by a moderator:
11953195_1551697774870433_7253435796660792065_n.jpg
 
Timu yangu Chelsea gonjwa na ile shetani nyekudu gonjwa pia jogoo gojwa sana
 
Kalou katika ubora wake.
Mind the gap!

"It takes a special player to improve our squad," said City manager Manuel Pellegrini of the ex-Chelsea player.
"We like to play attacking, attractive football. Bringing in a player like this will only aid us.
"He has all of the mental, physical, tactical and technical attributes required to fit straight in."

De Bruyne has enhanced his reputation since leaving Stamford Bridge.
It took De Bruyne 13 games to score his first Wolfsburg goal, but since then he has netted regularly, while also laying on even more chances for others.

Link BBC Sport - Kevin de Bruyne: Manchester City sign Wolfsburg midfielder
Hii ni habari njema kwa Mou.
 
Dugu yangu Ntuzu ameacha kuchambua soka sasa ameingia katika kundi la walalamikaji tu. KIchapo sio mchezo. Huwezi amini kuna shabikiz za msimu za Buluuzzz zinataka Mou out.

hahahaha leo nimekubali matokeo. mpira una matokeo matatu itabidi tuyakunali tu. mashabiki wa msimu wapo wengi sana
 
Ndugu yangu Ntuzu Manumbu
Kwema hapo ndugu yangu?Mambo magumu bado jamani,tuvumilie tu ndugu zangu

Man City atachukua kabla mzunguko wa kwanza haujaisha
 
Last edited by a moderator:
Pogba atatufaa sana
Kama ingwzekana tuuze hazard tununue ox chamberlain pia fabrgas kachoka nafikiri ramsey angetusaidia sana
 
Ndugu yangu Ntuzu Manumbu
Kwema hapo ndugu yangu?Mambo magumu bado jamani,tuvumilie tu ndugu zangu

Man City atachukua kabla mzunguko wa kwanza haujaisha

City hawezi kuchukua ubingwa ktk mzunguko Wa kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mchezaji Wa kusajiliwa kutoka arsenal kwenda Chelsea kweli jaman?

tukiacha ushabiki mimi ni mpnz wa chelsea ila sanchez,chamberlain ni bora kuliko hazard

ramsey,de brune,cotinho,mata,carzola,silva ni zaidi ya fabrigas
 
City hawezi kuchukua ubingwa ktk mzunguko Wa kwanza!
Ntuzu,
Umeruhusiwa kurudi nyumbani? Wodi ipi ulilazwa?
Nilifika Muhimbili , niliambiwa umehamishiwa Aga khan hospital.
Je ni Afya yenye mgogoro nawe au mgogoro ndio unadhoofisha afya yako?
Nimefarajika kukuona tena hapa ingawaje umekuwa kama piriton na unaongea kwa shida.

Kuna msemo huu,"Ni upepo tu, utapita" na utaweza tena kupiga mayowe na makelele kama msimu uliopita.

Karibuni tena wenye jukwaa, tilikuwa timemshikieni nafasi zenu tu kwa muda mliokuwa mafichoni. Sasa leteni mauchambuzi. Chelsea imepatwa na nini?
 
Jamie-Carragher-Headshot_3190884.jpg

Fabregas is a fantastic footballer, he creates goals, he scores goals. But he can't defend. He lacks tactical intelligence, especially defensively.

Jamie Carragher



Je kuna ukweli kwenye hii hoja??? wana Chelsea tuzungumze!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom