Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ntakupa mfano hai,unakumbuka mechi ya man untd na Liverpool!!?origi aliangushwa na mpira ukaendelea Hadi goli likaingia VAR iliporudia iliona lile kosa so pale yalikuwa yanatakiwa MAAMUZI ya refa tu maana video assistant referee ilishaonesha ambacho refa hakukioona lkn refa akakaza akakubali goli.nachoamini kuna mawasiliano ambayo Yule head wa VAR anafanya na referee na referee anao uwezo was kuchukua huo ushauri au kutochukua...MWENYE KUELEWA ZAIDI ATANIREKEBISHA
 
Inamaana hapa VAR ndio inakuwa muamuzi wa mwisho kabisa
 
Mbona nachanganyikiwa kabisa,maana kila jibu hapa naona lina ukweli
 
Mbona nachanganyikiwa kabisa,maana kila jibu hapa naona lina ukweli
Mechi ya man city na spurs refa alikubali goli la Gabriel Jesus lakini var ilikataa na mechi ikaisha sare, hata ukigoogle how var works utaona wanakuambia var ina uwezo wa ku overturn referee decision
 
Mbona nachanganyikiwa kabisa,maana kila jibu hapa naona lina ukweli
Hili tukio liliamuliwa na var hadi wachambuzi kama Carragher na souness walishindwa kuelewa, refa alikubali goli lakini var nayo iliona kuwa hakukuwa na foul, carragher alisema "var at its best". Hii inaashiria kwamba var ndio ilitoa uamuzi wa mwisho baada ya refa kukubali.
Maana yake hapo var haiku overturn uamuzi wa refa, iliona refa alikuwa sahihi ktk uamuzi wake
 
Screen ipo mkuu pale uwanjani...
 
Mechi ya man city na spurs refa alikubali goli la Gabriel Jesus lakini var ilikataa na mechi ikaisha sare, hata ukigoogle how var works utaona wanakuambia var ina uwezo wa ku overturn referee decision
Mechi ya Arsenal vs Crystal palace Refa alimpa yellow card Wilfred Zaha kwa ku dive iliapate Penalty baada ya sekunde chache VAR ikatoa maamuzi ya Penalty kwa Palace na Yellow card ya Zaha ikafutwa.
 
Mechi ya Arsenal vs Crystal palace Refa alimpa yellow card Wilfred Zaha kwa ku dive iliapate Penalty baada ya sekunde chache VAR ikatoa maamuzi ya Penalty kwa Palace na Yellow card ya Zaha ikafutwa.
Ni kama hy ya Jesus maamuzi ya refa yalibatilishwa
 
Swali la msingi halijajibiwa

Kepa ameconcede magoli mangapi?

Alison ameconcede magoli mangapi?
Ubora wa kipa tunapima ana clean sheet ngap..

Kila kipa Si anafungwa? mf. Allison, Degea ..ndo maana Kepa anawakimbiza kweny clean sheet[emoji3][emoji3]
 
Aaa Liverpool wetu ..wasikupe tabu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…