Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,397
- 17,784
Nimejiuliza sana. Ilikuwaje United wakatusumbua vile? Huu mpira tuliocheza leo tungeucheza siku ile, tusingewaacha salama.
This boy Gini vs Citi never disappoint...MASAMILA njoo umponde GINI
Nimejiuliza sana. Ilikuwaje United wakatusumbua vile? Huu mpira tuliocheza leo tungeucheza siku ile, tusingewaacha salama.
Ukweli wachezaji wa LIVER wamechoka wametumika sana.
Hahahaha yeah akifanya vyema kama ile klosi we give thumbs up 👌👌👌👍👍👍👍👍Niache Unafiki Hongera Henderson
hapana shakaBilashaka na Leo sijakuangusha mkuu
Msisahau refaree wa Leo anaitwa Oliverpool, kwahiyo hakuna cha ajabu
Msisahau refaree wa Leo anaitwa Oliverpool, kwahiyo hakuna cha ajabu
Msisahau refaree wa Leo anaitwa Oliverpool, kwahiyo hakuna cha ajabu
Hawezag funga Anfield.Wapi aguero?
Mtasema nn zaidi ya hiki? [emoji23] [emoji23] naona stress za Leicester zimepanda kichwaniMsisahau refaree wa Leo anaitwa Oliverpool, kwahiyo hakuna cha ajabu