Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha naye kavurugwa huyo
Yaani wewe upo huko tandahimba unataka kutoa hukumu!!!!?DUNIA HAIISHI VICHEKESHO.
HUYO ALIETOA HAYO MAAMUZI NI KWASABABU YUPO AU ALIKUWEPO ENEO LA TUKIO NDIO MAANA KAONA NANI WA KUMPUMZISHA.SASA UNAKURUKUPUKA NA MAMBO YA UBAGUZI SIJUI FLANI HAMZIDI FLANI YANATOKEA WAPI!!?
 
Hapa ndipo katika utata,una maanisha kuwa refa wa kati anaweza kupinga maamuzi ya VAR???maana yeye si ndio mwenye maamuzi ya mwisho.....
As name implies
video.
*assistant*
referee.

Ni msaidizi wa refa ila yeye hutumia video.
Wale wanaokua kwenye VAR wao husema kilichotokea ila refa wa kati ndiye huamua. Ndio kwa sababu wakati mwingine ikimbidi refa huenda mwenyewe kutazama tukio.
Kwa kukujibu swali lako
kwanza sio automatic (var haina maamuzi auto kama Goal LT) kwenye maamuzi, ila inarekodi kila hatua ya mechi inayoendelea ikitokea kwenye utata ndipo walio mule hufanya rewind with slow motion mpaka kupata uhalisia wa tukio, na kumueleza refa. Ndio maana hata maamuzi kwa kutumia var huchukua muda kwa sababu hutegemea watu (referees)
VAR bado haina maamuzi ya moja kwa moja refa ndiye hutoa maamuzi, ndio maana mule ndani kuna jopo la watu.

Na hii technolojia bado itakua na utata sababu bado ni refa ndiye anaangalia tukio na kulipima na sheria kisha hutoa maamuzi.

GOAL LINE TECHNOLOGY ndiyo pekee imefauli.
 
Wale waliopo kwenye chumba ndio wanatoa maamuzi yale ambayo refa wa kati na wasaidizi wake hawakuona

Hivyo bado mapungufu yatakuwepo kwa sababu wanaotoa maamuzi ya mwisho ni wale wa kwenye VAR room
Usichanganye madesa refa wa kati ndio mwenye maamuzi ya mwisho
 
IMG_6596.JPG
 
As name implies
video.
*assistant*
referee.

Ni msaidizi wa refa ila yeye hutumia video.
Wale wanaokua kwenye VAR wao husema kilichotokea ila refa wa kati ndiye huamua. Ndio kwa sababu wakati mwingine ikimbidi refa huenda mwenyewe kutazama tukio.
Kwa kukujibu swali lako
kwanza sio automatic (var haina maamuzi auto kama Goal LT) kwenye maamuzi, ila inarekodi kila hatua ya mechi inayoendelea ikitokea kwenye utata ndipo walio mule hufanya rewind with slow motion mpaka kupata uhalisia wa tukio, na kumueleza refa. Ndio maana hata maamuzi kwa kutumia var huchukua muda kwa sababu hutegemea watu (referees)
VAR bado haina maamuzi ya moja kwa moja refa ndiye hutoa maamuzi, ndio maana mule ndani kuna jopo la watu.

Na hii technolojia bado itakua na utata sababu bado ni refa ndiye anaangalia tukio na kulipima na sheria kisha hutoa maamuzi.

GOAL LINE TECHNOLOGY ndiyo pekee imefauli.
Ahsante mkuu,nimekusoma vizuri
 
Football is funny..

Tuparuane kuhusu hendo kuhusu lallana kuhusu lovren wakat mwingine ni kuhusu selection za klopp.

Ila huu ndio utamu wa football ulipo, hamna haja ya personal attacks, ikiwa haujapendezwa na mchango/maoni ya mtu pita tu kimya maisha yaendelee (japo ni ngumu kulingana na ujazo wa hisia kwenye timu na mpira kwa ujumla).

Tuombe tu hii international Break isituletee long term injuries.
YNWA.
 
Mwenye MAAMUZI ya mwisho ni referee....VAR inakuwa NI msaidizi tu.
Kuna ile VAR ambayo screen inakuwa uwanjani mfano kwenye AFCON, kunapokuwa kuna tukio la mkanganyiko refa hupewa taarifa na wale wa VAR room akaangalie marudio ya tukio husika, hapa refa ndiye mwenye maamuzi ya mwisho.

Lakini kwenye EPL hakuna screen uwanjani ambayo refa ataenda kuangalia marudio ya video hivyo refa husubiri var room wacheki halafu wanamwambia maamuzi.

Ndio maana kwenye ile screen kubwa huwa wanaandika VAR Decision No goal au Goal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom