forward line yetu imekuwa butu sana mechi kadhaa, na wamekuwa wakipoteza sana nafasi na hilo ndio jambo linanipa wasiwasi mechi yetu ya leo.
kiungo yetu inakuwaga hovyo ikipangwa
Milner, Hendo, Fabihno sasa jumlisha na hali ya forward wetu tunasaka parapanda wenyewe.
Alex Ox- Chamberlain ni kiungo wetu pekee ambaye ana'offer goals threat.
Vile vile kabla hajaumia aliwatungua man city na ile fainali na Real Madrid naamini asingekuwa majeruhi lallana asingecheza na kombe lingetua nyumbani.
Klopp apange apangavyo ila Ox ndio siri ya ushindi leo maana hata city watamwangalia vema hivyo kupunguza pressure kidogo kwa front three
Kwa clean sheet sidhani. Siku hizi kila timu lazima itufunge.Liverpool 3 Mancity 0.
Leo mnagongwa, nyambafu sana,nahao unaodai kuwa ni watoto wanakuja kuchukua nafasi yako soon,jiandae kisaikolojia.it's still a 2-horse title race in my opinion.
hivi vitoto 2 vinavyoleta mbanano hapa juu vitaanza kutimuliwa vumbi January onwards pampers zao zitakapozidiwa mkojo.
come on you Reds....create that 9-point cushion fast!
View attachment 1259105
Kabisa ni ngumu sana kwa mwenyeji na mgeni yani kwangu naiona iko 50% kwa 50% hadi sasa hivi, ingawa namtakia LIVERPOOL FC kila la heri.
Mkuu hata mimi nakubaliana na wewe,city big mechi kacheza na spurs tu na leo na Liverpool ndio ya pili,bado na leicester,man u,chelsea ,Arsenal.lazima ataachatu point hapo .
Klopp anasema ni ngumu Sana kununua kwani hio bei sio ya kitoto...Nike wanaweza mleta huyo kisha wauze jezi wapate hela yao.
OvaMkuu hiyo mechi mimi hainipi pressure kabisa ,mechi tunashinda hiyo.
Ingekuwa etihad pale sawa ningekuwa na wasiwasi,hao wakijitahidi hapo anfield ni droo.
Man city hawako vizuri ,tuache kukalili.hii mechi ya leo ni muhimu sana sana kwa sisi kushinda,so tutacheza vizuri sana tushinde .
Relax mate bado mechi nyingi tu aisee hata mznguko Wa kwanza bado kabisa...Hapa nimelala kwanza kwa sababu prsha niliyonayo haielezeki.
Punguza ramli mkuu,punguza wengeMungu ibariki man city
Ipunguze gepu ili wanaume tusipate shida sana kukaa namba moja

If the boys can raise their game kama ile mechi ya Vs Barcelona UCL SF pale Anfield basi Pep and crew hana chake...Punguza ramli mkuu,punguza wenge
Game ishaisha hyo Anfield sio mahala sahihi kwa timu yoyote ile duniani tofauti na sisi wenyewe
PEP is very coward When its become the matter of LFC +KLOPPIf the boys can raise their game kama ile mechi ya Vs Barcelona UCL SF pale Anfield basi Pep and crew hana chake...
So guys how do we beat this Pep side loaded with very able mids and forward line?
WE ARE READY
3 goals, 3 points
If the boys can raise their game kama ile mechi ya Vs Barcelona UCL SF pale Anfield basi Pep and crew hana chake...
So guys how do we beat this Pep side loaded with very able mids and forward line?