Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Nakuunga mkono tar 24 Mpige CityVAR aise imekuja kuwa rafiki yenu.
Nakuunga mkono tar 24 Mpige CityVAR aise imekuja kuwa rafiki yenu.
You tube uko kushapitwa na wakati.Kwa sasa Liverpool ndiyo klabu inayoongoza kwa mapato kupitia mtandao wa Youtube, hii ikimaanisha ndiyo klabu inayotazamwa mara nyingi zaidi mtandaoni achilia mbali chaneli zingine za michezo ambazo si za klabu.View attachment 1259950
Kwahyo na pesa zimepitwa na wakati?You tube uko kushapitwa na wakati.
Kwahyo na pesa zimepitwa na wakati?
VAR aise imekuja kuwa rafiki yenu.
Hii Liverpool inavyochechemea ivi ..mpka desemb tutakuwa tumewaacha mbali sana...
Si hii ama?Namaanisha ile ambayo refa anaenda mwenyewe kuangalia marudio ya tukio kama ilivyokuwa world cup na Afcon, iliyopo ni ile inayoandika decision ya var ambayo ipo upande wa juu ya uwanja

View attachment 1262572View attachment 1262571Yaan weweBangi ni dawa mkuu.
Huyo kocha ni kiazi, sasa kama wanauogomvi si awatoe wote, kuna faida gani kumuacha gomez na kumtoa stering,
Mbaya zaid huyo gomez hajamfikia stering hata nusu,
Sore loser
3-1
9 points adrift




Kutangulia sio kufika
Nyie historia yenu tunayo
Liverpool inaongozaga tu, linapokuja swala la kuwin title mnatoa macho tu,
Ongozen league, wanaume tunakuja kuchukua epl
Ni swala la muda tu.
Sorry mim siwez kusifia ujinga, lazima niwambie tu ,hakuna namna nyingine najua mtafuta comment zanguUkute hata nguvu za kiume mpaka unywe vidogo, halafu unapokuja kuja humu unajiita mwanaume, vijitu vingine aiseeeee




Kutangulia sio kufika
Nyie historia yenu tunayo
Liverpool inaongozaga tu, linapokuja swala la kuwin title mnatoa macho tu,
Ongozen league, wanaume tunakuja kuchukua epl
Ni swala la muda tu.
Khaaaaaa!!!!!!Wewe na Ollachuga Oc siku mutakayoandika jambo lenye kumake sense haki ya nani nahama JF
Mzee kuna vitu unachanganya, VAR sio mwamuzi wa mwisho,Mechi ya Arsenal vs Crystal palace Refa alimpa yellow card Wilfred Zaha kwa ku dive iliapate Penalty baada ya sekunde chache VAR ikatoa maamuzi ya Penalty kwa Palace na Yellow card ya Zaha ikafutwa.