Huyo kocha ni kiazi, sasa kama wanauogomvi si awatoe wote, kuna faida gani kumuacha gomez na kumtoa stering,Sterling jana ugomvi wake na Gomez kaupeleka hadi team ya Taifa!
Soka ni dakika 90 zikiisha yanakuwa yamepita na FA lzm imuadhibu Sterling kwa kupeleka ugonvi wa teams hadi kambini team ya TaifaView attachment 1260989
Naunga mkono hoja,Huyo kocha ni kiazi, sasa kama wanauogomvi si awatoe wote, kuna faida gani kumuacha gomez na kumtoa stering,
Mbaya zaid huyo gomez hajamfikia stering hata nusu,
Ukikutana na mimi jipange kisaikolojia mkuu.....maana mimi dozi zangu kali sana

Ubaguzi upi wakati na Gomez nae mweusiNaunga mkono hoja,
Ubaguzi unawasumbua .....yaani unamtoa stearing mashine kwa ajili ya Gomez ambaye hata namba hana katika timu....upumbavu,
Yaani wewe upo huko tandahimba unataka kutoa hukumu!!!!?DUNIA HAIISHI VICHEKESHO.Huyo kocha ni kiazi, sasa kama wanauogomvi si awatoe wote, kuna faida gani kumuacha gomez na kumtoa stering,
Mbaya zaid huyo gomez hajamfikia stering hata nusu,
Pengine Sterling ndo mchokoziNaunga mkono hoja,
Ubaguzi unawasumbua .....yaani unamtoa stearing mashine kwa ajili ya Gomez ambaye hata namba hana katika timu....upumbavu,
Ndio maana babu yako the great aliwaita the noisy neighbour...Wale watu ni hatar sana
Ukiona hivyo ushahidi uliopo na taratibu zao za adhabu kulingama hali kama hio ni Sterling atulizwe..Naunga mkono hoja,
Ubaguzi unawasumbua .....yaani unamtoa stearing mashine kwa ajili ya Gomez ambaye hata namba hana katika timu....upumbavu,
Tangu huyu ndogo asikie anatakiwa na Real naona kanapata kichwa fulani..Pengine Sterling ndo mchokozi
Citi were beaten 'fairly' they had 90+ minutes kutupiga walichemka hayo ya VAR yapo kote kote...
VAR ni msumeno unakata kote kote..
Reds named on the #BallonDor 30-man shortlist!Wakuu nina swali hapa ambalo limezua ubishi kidogo hapa nilipo,naamini hapa kuna watu wana majibu sahihi.....
Hivi VAR inatoaje maamuzi?
Inatoa maamuzi 'automatic' yaani yenyewe inadetect kama ile goal line technology?kwa kusema direct NO GOAL,au PENALT au RED CARD??
Au waliopo kule chumbani ndio wanaotoa maamuzi baada ya kujiridhisha na tukio lilivyo kwa kuchunguza kwa kina tukio husika,kisha wanamwambia refa hilo ni goli au sio goli,au hiyo ni kadi nyekundu au hiyo sio red card?
na pia mwenye maamuzi ya mwisho ni nani?ambaye kama tukio lina utata anasema lichekiwe na VAR? Ni refa wa kati au wale walio ndani katika VAR?maana kuna muda mwingine unaona tukio lina utata na wachezaji wanamfata refa kwa kumuomba VAR itumike lakini refa anakataa na kandanda linaendelea kupigwa????
Kwahyo Gomez kwako ana rangi tofauti na Sterling?Naunga mkono hoja,
Ubaguzi unawasumbua .....yaani unamtoa stearing mashine kwa ajili ya Gomez ambaye hata namba hana katika timu....upumbavu,
Huyo chuki tu ndo ipo kichwani. Hana hoja yoyote. Kuhangaika naye ni kujichosha.Yaani wewe upo huko tandahimba unataka kutoa hukumu!!!!?DUNIA HAIISHI VICHEKESHO.
HUYO ALIETOA HAYO MAAMUZI NI KWASABABU YUPO AU ALIKUWEPO ENEO LA TUKIO NDIO MAANA KAONA NANI WA KUMPUMZISHA.SASA UNAKURUKUPUKA NA MAMBO YA UBAGUZI SIJUI FLANI HAMZIDI FLANI YANATOKEA WAPI!!?
Wale waliopo kwenye chumba ndio wanatoa maamuzi yale ambayo refa wa kati na wasaidizi wake hawakuonaWakuu nina swali hapa ambalo limezua ubishi kidogo hapa nilipo,naamini hapa kuna watu wana majibu sahihi.....
Hivi VAR inatoaje maamuzi?
Inatoa maamuzi 'automatic' yaani yenyewe inadetect kama ile goal line technology?kwa kusema direct NO GOAL,au PENALT au RED CARD??
Au waliopo kule chumbani ndio wanaotoa maamuzi baada ya kujiridhisha na tukio lilivyo kwa kuchunguza kwa kina tukio husika,kisha wanamwambia refa hilo ni goli au sio goli,au hiyo ni kadi nyekundu au hiyo sio red card?
na pia mwenye maamuzi ya mwisho ni nani?ambaye kama tukio lina utata anasema lichekiwe na VAR? Ni refa wa kati au wale walio ndani katika VAR?maana kuna muda mwingine unaona tukio lina utata na wachezaji wanamfata refa kwa kumuomba VAR itumike lakini refa anakataa na kandanda linaendelea kupigwa????
Mwenye MAAMUZI ya mwisho ni referee....VAR inakuwa NI msaidizi tu.Wale waliopo kwenye chumba ndio wanatoa maamuzi yale ambayo refa wa kati na wasaidizi wake hawakuona
Hivyo bado mapungufu yatakuwepo kwa sababu wanaotoa maamuzi ya mwisho ni wale wa kwenye VAR room
Hapa ndipo katika utata,una maanisha kuwa refa wa kati anaweza kupinga maamuzi ya VAR???maana yeye si ndio mwenye maamuzi ya mwisho.....Mwenye MAAMUZI ya mwisho ni referee....VAR inakuwa NI msaidizi tu.