gilberto de rico
Senior Member
- Feb 7, 2019
- 164
- 121
LAANA ITAITAFUNA li((VAR)POOL MAANA WANABEBWA .KILA JAMBO LISILO LA HAKI MWISHO WAKE NI MAJUTO
Wale watu ni hatar sanaUmeona Mziki wa City Jana? Jipange kisaikolojia jinsi atakavyokujia na Moto wa kujeruhiwa
Wale watu ni hatar sana
Ahahah hili game sijawahi kulipenda sababu halina ushindaniNatest mitamboView attachment 1260871
Yaani tuliwatangulia 2 bila lakini nilikuwa hata siamini kama game itaishaje.







Navuta picha namna ya kuwakabili naona ugumu upo na wameangusha point muhimu watakuwa wakali sanaYaani tuliwatangulia 2 bila lakini nilikuwa hata siamini kama game itaishaje.
Ukicheza online kidogo afadhaliAhahah hili game sijawahi kulipenda sababu halina ushindani
Navuta picha namna ya kuwakabili naona ugumu upo na wameangusha point muhimu watakuwa wakali sana
Yaani goli la 3 ndipo nilipoanza kushangilia, si mchezo.
Ukicheza online kidogo afadhali
Sterling jana ugomvi wake na Gomez kaupeleka hadi team ya Taifa!
Soka ni dakika 90 zikiisha yanakuwa yamepita na FA lzm imuadhibu Sterling kwa kupeleka ugonvi wa teams hadi kambini team ya TaifaView attachment 1260989
Sikumbuki kuona VAR ikitumika kwenye mechi ile, sasa huo msaada wa VAR ulitokea wapi!!?LAANA ITAITAFUNA li((VAR)POOL MAANA WANABEBWA .KILA JAMBO LISILO LA HAKI MWISHO WAKE NI MAJUTO
Ukikutana na mimi jipange kisaikolojia mkuu.....maana mimi dozi zangu kali sanaNgoja nijaribu
Ndio vizuri ili tucheki burudani maana wengine vifurushi vyetu vinaisha bure huku,na tunalipia pesa ndefuKila wiki mechi 2View attachment 1261060