SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Ni kelele tu. Hamna chochote hapo.????issue hi Inazid kuwaka moto mitandaoniView attachment 1258270
Kepa anasaidia mpaka magoli kwa wapinzani. Goli.kipa namba moja kwa bei!Sasa kepa magoli anayofungwa unadhani Allison ndo atabaki salama? Angalia lile goli la Zuyech wa Ajax ..kipa gani angedaka pale ..
Kepa clean sheet 3
Allison clean sheet 0
Kila la kheri Chelsea![]()

Katika hii comment yako Hapo mwishoni umeshaconclude mwenyewe tayari kuwa Gini uwezo mdogo
Hahaha hii Man u sio timu ya kuipa ushindi kabisa ..leo wako moto kesho wako baridi ...ni bora wachague moja ..kuwa moto kama Chelsea au kuwa baridi kama Arsenal ya ndugu yangu Duly Jr ..najua uko alipo anajilaumu kuwa fans wa arsenal![]()
hujawahi niangusha mgosi..... hehehe!Liverpool 3 Mancity 0, my prediction
Kepa clean sheet 3
Allison clean sheet 0
Kama msimu huu hatujasajili na tuko hivi on fire ..tukisajili itakuwaje? ..sasa hivi timu ina mvuto wachezaji wengi wazuri watataka kuja pale..Nakuhakikishia, muda si mrefu sana Chelsea ataanza kupitia mapito anayoyapitia Arsenal na Manure






Allison kinachom'beba ni ubira wa beki zenu na uzoefu wake ambao ataendelea kukua nao ..Kepa ameconced magoli mangapi?
Alison ameconcede magoli mangapi?
Iyo nafasi ya kwanza mpka Desemba mwishoni au Jan apo mwanzon tutakuwa tumeikamata.it's still a 2-horse title race in my opinion.
hivi vitoto 2 vinavyoleta mbanano hapa juu vitaanza kutimuliwa vumbi January onwards pampers zao zitakapozidiwa mkojo.
come on you Reds....create that 9-point cushion fast!
View attachment 1259105








hahahahaaaaaaaaaaaa!Iyo nafasi ya kwanza mpka Desemba mwishoni au Jan apo mwanzon tutakuwa tumeikamata.
Amini kwamba...This is Chelsea![]()
Allison kinachom'beba ni ubira wa beki zenu na uzoefu wake ambao ataendelea kukua nao ..
Ila beki zinaanza kumuangusha maana sasa...unashindwa kupata clean sheet adi kwa Genk??? Kwa Man city ndo utaweza kweli?
Achana na kepa sisi hatuna ukuta mgumu ..ila tunaanza kujenga ukuta wa maana ..Tomori apo nyuma ananichafulia balaa Rudger akirud ndo itakuwaje balaa...
Nyie VVd keshaanza kuchoka na hamna backup ya maana.
Gin asipo anza kisha viungo wawe OX.Fab.Keita hawa Man City wanatufunga easy 4-0Kwa haki kabisa Ginni mnamkosea heshima sana. Kumfananisha Ginni na Captain ni kumwonea kabisa.
Mbona Ginni sio mbaya kama wengine mnavyomwona?
Naanza kumwelewa Malafyale