Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pengine ameingia kwenye kundi la wanaojiita LIVERPOOL HALISI
Mkuu unajishushia Heshima unayoekewa hapa JF.

Please nakushauri huu mjadala bora tuuwache utatujengea picha mbaya kama washabiki wa Liverpool kuonekana sote hamna kotu.
 
PAUL SCHOLES
(In all competitions)

AT CLUB LEVEL
• Appearance 706

• Goals 150

• Assists 72

CUPS

• EPL 11

• CL 2

• FA 4

• Carabao 3

• Club World Cup 1

AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)

• Appearance 66

• Goals 14

Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.

Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
PS 8 & Hendo EPL
Screenshot_20191015-093055_1.jpeg
Screenshot_20191015-092917_1.jpeg
 
Mkuu unajishushia Heshima unayoekewa hapa JF.

Please nakushauri huu mjadala bora tuuwache utatujengea picha mbaya kama washabiki wa Liverpool kuonekana sote hamna kitu.
Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.
 
Pengine ameingia kwenye kundi la wanaojiita LIVERPOOL HALISI

Pengine ni kweli Manake ukiingia kule hata tukio la miaka 10 iliyopita utaendelea kulikariri kama kwamba limetokea leo.

Msimu wa 2017/18 Liverpool ilikuwa hivi:-

MANE - BOOBY - SALAH

MILNER - HENDO - GINI

ROBBO - MATIP - LOVREN - TAA

MIGNOLET

Barcelona walikuwa hivi:

DEMBELE - SUAREZ - MESSI

RAKITIC - BUSQUET - ?????

ALBA - UMTITI - PIQUE - ????

STEGEN

YA KUZINGATIA:

√ Huu ndiyo msimu ule tuliopigwa 5 na 4 na Man City and Spurs respectively.

√ Coutinho alikuwa anajipachika injury za uongo kutocheza kwa kudai kuhama.

√ Salah katika michezo takriban 7 ya kwanza alikuwa hajaprove ubora wake.

√ Robbo alikuwa bado hajaadapt na Mchezo

√ TAA ndiyokwanza alikuwa anajifunza hajawa na namba ya uhakika.

√ VVD alikuwa bado hajaja Liverpool kwani alijiunga na sisi January.

Sasa tukasema "BARCELONA na LIVERPOOL zikichanganywa Vikosi hakuna Mchezaji wa Liverpool hata mmoja anayeweza Kuingia kwenye First XI"

Chakushangaza Jamaa Mpaka leo Kang'ang'ania hiyo kauli kama kwamba Zama hazibadiliki Vikosi na Uwezo wa Wachezaji Vimebakia Constant.

Yani kila Mechi lazima hiyo kauli airudie ingawa kumetokea Mabadiliko Makubwa sana kwenye hivi Vikosi viwili.

Sasa Mtu kama huyu ni Pasua kichwa.
 
Liverpool wametishia kujiodoa Carabao endapo ratiba ya nane bora haitazingatia uwepo Wa ratiba kubanana Club World Cup, EPL, UCL, tunategemea tarehe ziwe rafiki kwetu..

CARABAO CUP twakutana na Aston Villa
Binafsi hat hyo carabao cup naona inatuongezea injury TU we have to focus on EPL
Fabinho akipata yellow card dhidi ya Aston villa atakosa mechi ya City maana itakuwa kapata yellow 5. Na kwa kazi yake kupata yellow ni kitu cha kawaida.
Je klopp atamuweka benchi aweke mido ya milner gini na henderson au atamuweka na kurisk kucheza hiyo mido dhidi ya City.
Nadhani leo gini adrop Dm yaan Gini,hendo,Ox maan fabinho ndo mtu sahihi kukata upepo wa zile mldifield za citizen na Kasi zao hvyo Fab leo ale upepo nje

Nb: KLOPP ASIJE MRUDISHA HENDO DM MAANA TUTAUWAWAA
 
Binafsi hat hyo carabao cup naona inatuongezea injury TU we have to focus on EPL
Nadhani leo gini adrop Dm yaan Gini,hendo,Ox maan fabinho ndo mtu sahihi kukata upepo wa zile mldifield za citizen na Kasi zao hvyo Fab leo ale upepo nje

Nb: KLOPP ASIJE MRUDISHA HENDO DM MAANA TUTAUWAWAA
Uwezekano uliopo Kwa sasa Carabao ni kuwa na vikosi viwili kimoja kitacheza World Club Cup na kingine kitacheza Carabao hii ndio njia pekee kuweza kushiriki mashindano yote bila kuadhiri wachezaji Wa timu A...

Hii itakua powa Sana maana hawa wachezaji Wa akiba wanahitajia hizi mickey mouse cups...
 
Mku
PAUL SCHOLES
(In all competitions)

AT CLUB LEVEL
• Appearance 706

• Goals 150

• Assists 72

CUPS

• EPL 11

• CL 2

• FA 4

• Carabao 3

• Club World Cup 1

AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)

• Appearance 66

• Goals 14

Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.

Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
Mkuu ngwaba usipende kumquote kila mtu Hawa wengine mpira wameujua kipind hik Cha kina KLOPP Sasa mtu anafikis hatua ya kumlinganisha hendo na scholes wakat scholes ni level ya kina SG , mtu kama huyo hatoshindwa kukwambia hendo tyr kamzid SG
 
Sa

Sahih kbs Mkuu ila kule carabao awe anacheza milner na lallana pamoja na Orig tu lkn Ox,keita, wasipelekwe kule kbs maan mwak huu naona kila dalili ya kutinga hatua nzur UCL maan timu nying za European still ni uchafu TU yaan tunakila sababu ya kulisogelea tena kombe la UCL so we have to strengthen our squared by avoiding to include some of our players in trash and shit compitation like carabao ,but all in all EPLfor us is Still unanswered cry
 
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?

Daah salamu mkuu umeongea kwa hekima sana usipoeleweka kuna shida..
 
Wakati unampinga klopp kumzuia countihno kwenda barca na clyne kwenda kwa mkopo ,pamoja na origi kwenda German hayo sio mambo ya kitaalam?? Na Je wakati unampinga hao wachezaji walikuwa wanakaa kwenu?? Na sio alikuwa anakaa nao ndo mana alikuwa anawang'ang'ania?
Nimeeahi mpinga hapa Klopp mara kadhaa
Mfano kumng'ang'ania Coutihno alipo mua kwenda Barca
Mfano mkopo wa Clyne na mkopo wa Origi kwenda Germany
LKN siwezi mpinga Klopp kwenye mambo ya kitaalam ya nani acheze nani asicheze sababu ni Klopp anakaa muda wote na hawa wachezaji!
Hawa waliisha andika hapa kama Barca na Liverpool ukichanganya hamna mchezaji yyt wa Liverpool atacheza,Lkn team yao bora kabisa Barca tukaitoa!
Waliandika hapa Klopp hawezi shinda final,sasa kashinda finals mbili kubwa back to back.
Naomba ungana na Liverpool halisi tunao kosoa kwa haki achana na hawa mamluki
 
Sema jamaa unajua kujomesha sana.
Sasa subiri vijembe badala ya hoja
PAUL SCHOLES
(In all competitions)

AT CLUB LEVEL
• Appearance 706

• Goals 150

• Assists 72

CUPS

• EPL 11

• CL 2

• FA 4

• Carabao 3

• Club World Cup 1

AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)

• Appearance 66

• Goals 14

Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.

Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
 
Mku
Mkuu ngwaba usipende kumquote kila mtu Hawa wengine mpira wameujua kipind hik Cha kina KLOPP Sasa mtu anafikis hatua ya kumlinganisha hendo na scholes wakat scholes ni level ya kina SG , mtu kama huyo hatoshindwa kukwambia hendo tyr kamzid SG
Usije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..
Uangaliage na majukumu anayopewa hendo na anatimiza kwa asilimia ngap!? Unataka nijudge mimi wakati kocha wako anamuanzisha mara kwa mara ina maana anafanya kazi kocha anayoitaka afanye ...mi wala sijawahi mkubali Hendo zaidi ya kumtetea maana ukimtoa faby nani anaweza kutusaidia kukaba bas hata at least midfielder gani ianze....
Mpira ni burudani si kujifanya unajua Sana zaidi ya mwenzako hakuna anayelipwa hapa si wote tunaenjoy tu....so take it easy sio vita
 
Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.

Huu mjadala sasa umeshakuwa Mkubwa zaidi ya uwezo wangu! Bora niwaite wenyewe kina (radika , Chief-Mkwawa na Mc cane ) waje Wakusomeshe kuhusu uwezo aliyekua nao Legend Mkubwa Paul Scholes katika historia la soka la Uengereza ambaye unamfananisha na Fei Toto wa Uengereza Jordan Henderson.
 
Usije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..
Uangaliage na majukumu anayopewa hendo na anatimiza kwa asilimia ngap!? Unataka nijudge mimi wakati kocha wako anamuanzisha mara kwa mara ina maana anafanya kazi kocha anayoitaka afanye ...mi wala sijawahi mkubali Hendo zaidi ya kumtetea maana ukimtoa faby nani anaweza kutusaidia kukaba bas hata at least midfielder gani ianze....
Mpira ni burudani si kujifanya unajua Sana zaidi ya mwenzako hakuna anayelipwa hapa si wote tunaenjoy tu....so take it easy sio vita
Brother sisi sote ni liverpool na naelewa tunapaswa kusapoti wachezaji wote wanaoitumikia club,ila ni ukweli usiofichika henderson ni weak link kwa upande wetu hasa kwenye midfield
 
Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.
Mkuu ilikuwaje man utd 2012 Babu scholes alivyostaafu na miezi 6 timu inafanya vibaya na man city akaenda hadi kileleni ila alivyorudi babu kutoka kustaafu na timu ikakaa vizuri?

Kwa midfield ya man u toka aondoke roy keane ni nani alikuwa anambeba scholes pale kati?

Vipi hawa kina zidane, xavi, na malegend wengine ambao wamekiri scholes ndio midfield kali waliyopambana naye walikuwa hawaoni kama anabebwa na timu?
 
Usije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..
Uangaliage na majukumu anayopewa hendo na anatimiza kwa asilimia ngap!? Unataka nijudge mimi wakati kocha wako anamuanzisha mara kwa mara ina maana anafanya kazi kocha anayoitaka afanye ...mi wala sijawahi mkubali Hendo zaidi ya kumtetea maana ukimtoa faby nani anaweza kutusaidia kukaba bas hata at least midfielder gani ianze....
Mpira ni burudani si kujifanya unajua Sana zaidi ya mwenzako hakuna anayelipwa hapa si wote tunaenjoy tu....so take it easy sio vita
Hata sijakuelewa umeandika Nini mkuu maan kila kipengele umelamba na kuacha so nijibu hoja ipi hapo ,uwezo was hendo kukaba??role anayopewa hendo?? Mim kujikuta najua mpira??(ingawa sijasema mim najua) au mim kutoa mawazo yangu siruhusiwi hapa

Afu watu mnaomtetea hendo muwe mnaleta stats bas sio kulia lia tu
Mtu hafungi(kufunga ni mara1 per season),hatoi assist,haintercept,hapigi tackle, Sasa kumbe kazi yake ipi uwanjani as a CM
 
WAPUUZE,hawajui lolote
FA imemteua Hendo kuwania tuzo ya mchezaji bora wa EPL Oktoba 2019
Mtu yupo kwake Kibangu anaona yy anajua kuliko FA
Lkn mtu yupo kwake Sumbawanga huko anaona yy anajua kuliko KLOPP
Anaona yy anajua kuliko Southgate anayempa Hendo kila game
Mkuu wapuuze tu hawajui lolote na ndiyo wale watu wasio jua kitu lkn wanajiona wanajua
Hendo ni chaguo la kwanza la Klopp na team ya taifa,na itabaki kuwa hivyo
Kwa hili la Hendo kuna watu nikiwaeleza kama ulivyoeleza huwa hawaelewi mpaka najiuliza kwa ubishi wao walipataje kumaliza hata LA saba😂😂

By the way Hendo anakuwa nje ya lawama akicheza kiungo cha mbele like kipindi cha kina Suarez na Sturridge, hata sasa baada ya fabinho kufit-in naona ubora wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom