Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ohhh Buvac ndiyo kilikuwa kichwa cha Klopp-Mkapata aibu
ohh ukiunganisha Barca na Liverpool hamna mchezaji wa Liver ata anza- mkapata aibu
Ohhh Klopp hajawahi shinda final-Mkapata aibu
Ohh Hendo hana uwezo wa kuongoza team kwenye mafanikio -mkapata aibu
Sasa mnaenda kupata tena aibu ya mwaka,Hendo ananyanyua kwapa May kuchukua EPL
Na msivyo na aibu mtaweka picha zake ananyanyua kwapa kama mlivyo weka picha za UCL
Sema jamaa unajua kusuta sana
 
Yaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...
wao ni kutaka hendo aondoke, mara akae bench, hawajui sababu ya klopp kumuweka na timu inashinda...
Wenyewe kila siku wanalilia usajili na kusahau kuwa kila mchezaji mpya atahitaji muda aweze kuendana na falsafa ya mwalimu na akishindwa ni hasara kubwa....yaani tabia za mashabiki wa MAN U zimehamia humu...kutaka kila kitu (TAMAA)..TUBADILIKE...kama mtu unaona huendani na falsafa ya klopp unataka afanane na PEP...Hamia kwa PEP
WAPUUZE,hawajui lolote
FA imemteua Hendo kuwania tuzo ya mchezaji bora wa EPL Oktoba 2019
Mtu yupo kwake Kibangu anaona yy anajua kuliko FA
Lkn mtu yupo kwake Sumbawanga huko anaona yy anajua kuliko KLOPP
Anaona yy anajua kuliko Southgate anayempa Hendo kila game
Mkuu wapuuze tu hawajui lolote na ndiyo wale watu wasio jua kitu lkn wanajiona wanajua
Hendo ni chaguo la kwanza la Klopp na team ya taifa,na itabaki kuwa hivyo
 
Kuna uhuru wa kutoa maoni na kuna kuwa na Gubu.
Malafyale ana GUBU.
Si kweli,mm huwa nakosoa mtu kwa haki akikosea LKN siwezi ingilia maamuzi ya guru kama Klopp
Klopp anajua sana na ndiyo yy anajua why Hendo kila game kubwa anacheza
Mm au ww ni nani nipingane na mtaalam Klopp?
 
Roy Keane alipata kusema kwamba Hendo alitakiwa kuwepo studio na sio uwanjani and by the way hiyo ilikuwa ni katika mechi za kimataifa Hendo akichezea England national team
Roy Keane anajua kuliko Klopp?
Yaani Klopp ampe Hendo,huyu Roy Keane zilizo mshinda hata teams za hovyo wakamfukuza ampinge?
 
Tuna mechi leo na Villa kule Villa Park na Hendo atacheza na tutashinda
Klopp is our manager,Hendo is our Captain
Sisi Liverpool HALISI tunampenda Hendo wetu
Tukutane hapa wkt wa mechi kuijadili kwa haki team yetu
Asanteni
 
Mm naejoy tu hayo mambo ya kuchambua nan aanze nan akae bench mtajijua wenyew

Kama niliweza kushabikia Liverpool ya kina spearing, lazar markovic na kina Balotelli leo nishindwe kufurah kisa Henderson ameanza FXI wakat Tim inashinda na ninaongoza lig na Sion wa kunifunga hata mmoja .

Tumepita msoto Sana na hii Team muda wa kuenjoy soccer Ndó Huu na naenjoy kweli kweli.

Hao wanaomchukia hendo inabid watafute alternative nyingine coz jamaa Kama kuondoka bac ni 2023 onwards.

So labda inabid wakampige misumar sumbawanga aumie akae bench
 
Si kweli,mm huwa nakosoa mtu kwa haki akikosea LKN siwezi ingilia maamuzi ya guru kama Klopp
Klopp anajua sana na ndiyo yy anajua why Hendo kila game kubwa anacheza
Mm au ww ni nani nipingane na mtaalam Klopp?
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
 
Huyo mbuzi tulishampigia hayo magita sana, unapoteza muda na wino wako bro.
 
Nimeeahi mpinga hapa Klopp mara kadhaa
Mfano kumng'ang'ania Coutihno alipo mua kwenda Barca
Mfano mkopo wa Clyne na mkopo wa Origi kwenda Germany
LKN siwezi mpinga Klopp kwenye mambo ya kitaalam ya nani acheze nani asicheze sababu ni Klopp anakaa muda wote na hawa wachezaji!
Hawa waliisha andika hapa kama Barca na Liverpool ukichanganya hamna mchezaji yyt wa Liverpool atacheza,Lkn team yao bora kabisa Barca tukaitoa!
Waliandika hapa Klopp hawezi shinda final,sasa kashinda finals mbili kubwa back to back.
Naomba ungana na Liverpool halisi tunao kosoa kwa haki achana na hawa mamluki
 
Huyo mbuzi tulishampigia hayo magita sana, unapoteza muda na wino wako bro.
Mbuzi ni yule anaye jiona anajua zaidi ya Klopp!
Sasa wewe Ngumbaru wa soka kweli ni wa kumkosoa Klopp?
Trash,absolute trash ww na wenzako
Yaani wewe eti unabana kabisa pua kumkosoa Klopp nani acheze?
 
Unapata shida sana kushindana majibu na boga, unajua BOGA lakini?
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
 
Captain Hendo:
UCL down
Super cup down
World club to go
EPL to go
Liverpool halisi,we LOVE you Capitane Hendo
 
Unapata shida sana kushindana majibu na boga, unajua BOGA lakini?
Eti na ww unakosoa kazi za Klopp
Ehehehehehe kweli kua uyaone
TZ kila mtu ni kocha
Jamani hizi ni kazi za kitaalam sana,sisi tuendelee kula magimbi tu ndiyo tunacho weza
 
Liverpool halisi!
Bado muda kidogo vijana waingia dimbani
Tuwepo hapa kuwa support vijana wetu
Asanteni wote
Tuwaache Liverpool feki waendelee mtukana Captain wetu
 
Unaweza pitia stats zake then urud hapa

PAUL SCHOLES
(In all competitions)

AT CLUB LEVEL
• Appearance 706

• Goals 150

• Assists 72

CUPS

• EPL 11

• CL 2

• FA 4

• Carabao 3

• Club World Cup 1

AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)

• Appearance 66

• Goals 14

Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.

Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom