Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hata sijakuelewa umeandika Nini mkuu maan kila kipengele umelamba na kuacha so nijibu hoja ipi hapo ,uwezo was hendo kukaba??role anayopewa hendo?? Mim kujikuta najua mpira??(ingawa sijasema mim najua) au mim kutoa mawazo yangu siruhusiwi hapa

Afu watu mnaomtetea hendo muwe mnaleta stats bas sio kulia lia tu
Mtu hafungi(kufunga ni mara1 per season),hatoi assist,haintercept,hapigi tackle, Sasa kumbe kazi yake ipi uwanjani as a CM
Yan we unaona kocha anampa nafasi Mara kwa Mara tujiulize mi nawewe inamaana kocha Hendo ni shemej yake mpaka amkubali hivyo!?...unauliza majukumu anayopewa yani mi nikwambie kocha kamwambia Hendo awe anasaidia kukaba wakati TAA akipanda wakati unaona !,unataka nikwambie Hendo kapewa jukumu la kutafuta mpra Kati isimilikiwe na adui!?...unataka nikwambie Hendo awe anatizama angle zote apatapo mpira ajue pa kuupeleka !? Unataka stats za kupiga pass ngap kama jorginho !?...unataka afunge goli ngap kama Pogba!? unataka anyimane na firmino ama backlines zinazopanda mipira awe anapeleka mbele moja kwa moja kwa Salah au mane hata Kama nafasi ya kufanya hivyo haipo!?
Au unataka kusema mafanikio ya Liverpool hayamuhusu Hendo hakuchangia kitu!?

Swala la kusema Hawa watoto wameujua mpira juzi hiyo kauli ni kwamba we unajua zaidi yao yani we ni professional coach we ni G.O.A.T kwenye mpira Jk anasubiri Yani... chillax furahi mtu akipewa nafasi akivurunda anatolewa subiri usajili uje aletwe CM wa kiwango asaidiane na faby ...la sivyo Hendo hawezi tupwa kabisa..hata iweje.Asante.
 
Kila mtu abaki na mjadala wake kichwani mwake.

Tunao amini hendo ni weak tutaamini mpka mwisho, walikumbatiwa kina mignolet kina moreno sasa kimya.
Na wanaoamini Hendo ni bora waamini pia vivyo vivyo,

baadae na aston villa.
itategemea na line up kwenye mid they (villa) have energy kucheza na city around 45 min bila kuruhusu goli kwa promoted club sio jambo dogo .
Tujipange.

WIN is a WIN
YNWA
 
Mkuu ilikuwaje man utd 2012 Babu scholes alivyostaafu na miezi 6 timu inafanya vibaya na man city akaenda hadi kileleni ila alivyorudi babu kutoka kustaafu na timu ikakaa vizuri?

Kwa midfield ya man u toka aondoke roy keane ni nani alikuwa anambeba scholes pale kati?

Vipi hawa kina zidane, xavi, na malegend wengine ambao wamekiri scholes ndio midfield kali waliyopambana naye walikuwa hawaoni kama anabebwa na timu?
Safi Sana nakubali mtazamo wako japo ukisema scholes ndo alikuwa anainyanyua man u begani hapana maana hakuwa na maajabu Msimu aliporudi sio kuassist wala kufungu still alikuwa kawaida sana ..
Kuhusu hao wachezaji kumpa credit zaidi yeye nakujibu kwa mfano Ronaldinho ,Torres ,n.k wanamkubali Gerrard zaid ya scholes , Vicent Kampany ye alisema hakuwahi kutokea beki Bora zaidi ya VVD kwenye EPL ina maana waliokuwa wanampa credit zaidi Ferdinand sijui wakina Vidic n.k hawajui mpira si kila mtu anaangalia kwa angle yake ...
Turudi Tunachopaswa kuelewa ni philosophy ya Coach / manager wa timu mfano mzuri Ole katua Man u kapiga panga wakina lukaku ,Sanchez sio kwamba hao sio bora ila kaona yeye bora wake ni wakina rashford na greenwood wanamfaa zaidi ya hao ...
-Rafa alimsajili Lucas leiva (tunajua uwezo wake) aliulizwa kuhusu leiva akajibu yeye anachompendea mchezaji huyo ni physical mentality yake na anaamini mchezaji kuwa bora lazima awe na winning spirit na alimpa nafasi sana kipindi hicho...mpaka alipohamia Newcastle alitaka kumsign tena....
 
Hii thread imekuwa kama ugonjwa kwangu, yaani Liverpool ikicheza wakati mwingine namiss scenes kwa sababu ya kuangalia watu wamepost nini.

I hope leo game ya A-Villa tutashinda.

Next Sunday tukimfunga City mimi binafsi natangaza ubingwa.

Kwa walioko Zanzibar (Unguja) tukutane CCM, ntakuwa nimevaa jezi mpya, msiache kunisalimia.
 
Hata zidane hakuwa na magoli na assist nyingi ila anakuwa regarded kama mchezaji bora kuwahi kupata kutokea, zidane alikuwa anafunga pale mahala muhimu zaidi, goli la ushindi fainali ama hatua muhimu zaidi.

Same kwa scholes role yake uwanjani hakuwa mfungaji ama mtoa pasi za magoli, alikuwa muda mwingi anacheza chini na Rooney ama Cole walikuwa ndio wana occupy role ya no 10 ama playmaker, ila huyu scholes japo sio mfungaji ama mtoa pasi za magoli zile mechi muhimu zaidi ana step up na kusaidia timu.

-2008 nusu fainali uefa man utd 1 barcelona 0 goli pekee liliowatoa barca ni shuti la mbali la scholes.
1999 robo fainali inter 1 man utd 1 goli la scholes dakika za lala salama.

Nimekupa hio miaka sababu man utd ndio alichukua uefa, scholes ameplay role kwenye makombe yote mawili ya Uefa man utd aliochukua.

Sio hapo tu amefunga fainali kama za Fa na pia mechi muhimu sana kama goli la dakika ya 93 vs man city 2010 na mechi kuisha 1-0 goli hili ndio liliturudisha kwenye mbio za ubingwa,

Hivyo magoli ya huyu jamaa yalikuwa ni muhimu sana.

Ukiachana na hayo magoli scholes skill yake kubwa ni pasi zake ndefu, siku zote pass zake zinafanya midfield za timu pinzani kuwa useless, kwanza zinaenda juu sana kwamba huwezi kuzizuia pia most of time zinamfikia mlengwa. Unaweza ukaangalia mifano ya pasi zake kwenye hii video.
 
Mimi ntakuwa kwa Raju hapa, hahahahahahha,

Waliopo Singida tukutane Rhode Club, ntakuwa na uzi mpya pia, red

Nashukuru mkuu kwa kuja kistaarabu na mi utanisamehe ..kuhusu hizo long pass hata Hendo anazipiga Sana mkuu ila sasa Hendo hata hajastaafu bado hata game alizocheza ukiringanisha na scholes ni chache so credit unazotoa kwa scholes tumpe na Hendo pia maana still Yuko anapambana na kocha anamtumainia
 
Munakumbuka kipindi tunamlalamikia Klopp na kumkosoa Vikali juu ya Kuwafanya Lovren na Mingolet kuwa ni wachezaji muhimu wa First XI ???

Kuna watu walirushambulia kwa hoja hizi:-

1) Klopp anajua zaidi kuliko sisi
2) Klopp anajuwa soccer management ndiyomana anawaamini.À
3) Sisi hatujui chochote kwenye ukocha

Lakini wachezaji hawa Klopp aliwapoteza mpaka itokee injury ndiyo Lovren anaonekana.
Hatimae hawa watu waliokuwa wakitete machezaji mabovu mbona hawarudii tena hoja zao kwa wachezaji hawa?

Siwaoni wakisema haya:-
1) Klopp hajui tena soccer management ndiyomana kamuondosha Mignolet na kaachana na kumcheza Lovren kwenye First XI
2) Klopp hajui tena ndiyomana Mignolet na Lovren wamepotezwa!

YANI WAO WANAELEKEA UPEPO UNAKOELEKEA TU

Siku tutakayosajili viungo bora na Henderson akapotezwa basi watakuja kunyamaza kimya kama hawakuwahi kusema ni bonge la Mcgezaji hapa.
 
Hii thread imekuwa kama ugonjwa kwangu, yaani Liverpool ikicheza wakati mwingine namiss scenes kwa sababu ya kuangalia watu wamepost nini.

I hope leo game ya A-Villa tutashinda.

Next Sunday tukimfunga City mimi binafsi natangaza ubingwa.

Kwa walioko Zanzibar (Unguja) tukutane CCM, ntakuwa nimevaa jezi mpya, msiache kunisalimia.

Dah! Kuna sehemu pale Mitaa ya Kiponda jirani na Shule ya Sekondari Kiponda pana kibanda umiza nishatia Timu sana lakini panaboa Asilimia 98% ya washabiki ni Manure.

Nikaamua nihamie Kikwajuni karibu na uwanja wa Mao
 
Hata hapa CCM Man U ni wengi sana. Juzi kwenye Carabao walituwekea screen ndogo halafu wao wakajiwekea Projector na screen kubwa.

Ila watatuelewa tu.

Kiponda na ubuyu wake sasa hivi anakimbizana na Babu Issa.
 
Wakati unampinga klopp kumzuia countihno kwenda barca na clyne kwenda kwa mkopo ,pamoja na origi kwenda German hayo sio mambo ya kitaalam?? Na Je wakati unampinga hao wachezaji walikuwa wanakaa kwenu?? Na sio alikuwa anakaa nao ndo mana alikuwa anawang'ang'ania?
Daah.....!!_Hilo kaburi ulilofukua litatuletea ahueni sana kwenye jukwaa, labda tuu ajifanye hamnazo kama jinsi alivyo
 
09df04e6-bd48-47d5-a1b4-7283406462ed.jpg

Thank you Klopp
Fabihno for Man City
Liverpool HALISI tuendelee kuwa support vijana leo hapo Villa Park
Tuwaache Liverpool feki waendelee kumtukana Captain wetu
Mungu zidi kuwa na sisi Liverpool halisi leo
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom