Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Mbona tunaotaka wapewe uzoefu hamuwapi?acheni mapenzi na wachezaji pendeni team.For the future kaka...
Apate uzoefu Wa kutosha
Engekua Origi ndo anae rukaruka humu lawama zingekua bwenaaaaaa
Mbona tunaotaka wapewe uzoefu hamuwapi?acheni mapenzi na wachezaji pendeni team.For the future kaka...
Apate uzoefu Wa kutosha
Kipa wetu sasa Hahaha...
Here we go
It is EFL or Carabao cup...not FAKlopp tried so hard to get out of the FA Cup but Emery didn’t allow it.
![]()
Sawa sawa mzeeIt is EFL or Carabao cup...not FA
Inakuwaje saido analipwa mshahara mdogo hivyo 100?. Angetakiwa alipwe 280 kwa wiki anadeserve kabisa.


Mkuu huyu ndogo ni mzuri endapo atapata dakika za kucheza...Mbona tunaotaka wapewe uzoefu hamuwapi?acheni mapenzi na wachezaji pendeni team.
Engekua Origi ndo anae rukaruka humu lawama zingekua bwenaaaaaa
Curtis Jones huyu jamaa dah, JK mwangalie huyu mtoto.Talent sana more than hendo.
Hawa watoto kuna namna ya kuwa handle ili aisje akawa kama akina Spearing na wenzie wengiiii tuliodhani au kuona wana vipaji mwishowe wakaishia kuwa kama Hendo haha...Curtis Jones huyu jamaa dah, JK mwangalie huyu mtoto.Talent sana more than hendo.
Klopp alisema hategemei kua jeraha kubwa hivyo watamtazama kabla ya kutoa taarifa rasmi..up date kuhusu keita injury please!
Klopp alisema hategemei kua jeraha kubwa hivyo watamtazama kabla ya kutoa taarifa rasmi..
Kesho Klopp akiongea na waandishi Wa habari atasema..
Matip ndio bado upo uwezekano akakosa mechi ya wekedi hii..
Salah watamtazama pia..
Shaqir, Clyne hao bado kabisa.
Tumeshinda kibabe our 23 kids vs first eleven ya arsenal




kuna mawili hapo....