Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Roy Keane alipata kusema kwamba Hendo alitakiwa kuwepo studio na sio uwanjani and by the way hiyo ilikuwa ni katika mechi za kimataifa Hendo akichezea England national team
Kwan huyo Paul scholes alikuwa na maajabu gan mpaka anamdiss Hendo anamsahau mtu aliyecheza naye
 
Ni Roy Kean sio Scholes

Hata hivyo tujaribu kumjengea heshima Scholes alikuwa ni one of the best Midfielder in English Football ambapo mbele ya Henderson alikuwa na maajabu makubwa sana kiasi ya kwamba Hendo aunganishwe mpaka na Wajukuu zake hatoweza kufikia hata 0.01% ya alichokuwanacho Schools katika Career Yake.
 
Fabinho akipata yellow card dhidi ya Aston villa atakosa mechi ya City maana itakuwa kapata yellow 5. Na kwa kazi yake kupata yellow ni kitu cha kawaida.
Je klopp atamuweka benchi aweke mido ya milner gini na henderson au atamuweka na kurisk kucheza hiyo mido dhidi ya City.
 
Aston Villa tunawamudu vyema tu defence yao Kwa sasa haijakaa sawa... Mbele wako powa kimtindo...

Mara pap akaanza Jones pale kati itakua fureshiiiii..
 
Ni Roy Kean sio Scholes

Hata hivyo tujaribu kumjengea heshima Scholes alikuwa ni one of the best Midfielder in English Football ambapo mbele ya Henderson alikuwa na maajabu makubwa sana kiasi ya kwamba Hendo aunganishwe mpaka na Wajukuu zake hatoweza kufikia hata 0.01% ya alichokuwanacho Schools katika Career Yake.
Hendo na Scholes ni kama kulinganisha usiku na mchana...
 
Hapo hadi kwa wajukuu zake umeongeza na chuki , anaweza akaibuka mtoto wake akawa bonge la mchezaji
Ni Roy Kean sio Scholes

Hata hivyo tujaribu kumjengea heshima Scholes alikuwa ni one of the best Midfielder in English Football ambapo mbele ya Henderson alikuwa na maajabu makubwa sana kiasi ya kwamba Hendo aunganishwe mpaka na Wajukuu zake hatoweza kufikia hata 0.01% ya alichokuwanacho Schools katika Career Yake.
 
Ni Roy Kean sio Scholes

Hata hivyo tujaribu kumjengea heshima Scholes alikuwa ni one of the best Midfielder in English Football ambapo mbele ya Henderson alikuwa na maajabu makubwa sana kiasi ya kwamba Hendo aunganishwe mpaka na Wajukuu zake hatoweza kufikia hata 0.01% ya alichokuwanacho Schools katika Career Yake.

Nilikuwa kimya kwa muda, nikawa nasoma bila kukoment, recently naona kuna watu wameongezeka halafu kama ni replicas za Malafyale!

Full pumba. Sasa eti mtu anamlinganisha Scholes na Hendo!
 
Unaweza pitia stats zake then urud hapa
 
Tunacho shangaa team ikizidiwa huwa anamtoa yeye sasa kama anakubali kama ndo chanzo cha kuzidiwa kwanini awape mizigo kina Faby wakabe na wagawe pasi huoni kuna shida hapo
Yaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...
wao ni kutaka hendo aondoke, mara akae bench, hawajui sababu ya klopp kumuweka na timu inashinda...
Wenyewe kila siku wanalilia usajili na kusahau kuwa kila mchezaji mpya atahitaji muda aweze kuendana na falsafa ya mwalimu na akishindwa ni hasara kubwa....yaani tabia za mashabiki wa MAN U zimehamia humu...kutaka kila kitu (TAMAA)..TUBADILIKE...kama mtu unaona huendani na falsafa ya klopp unataka afanane na PEP...Hamia kwa PEP
 
Nilikuwa kimya kwa muda, nikawa nasoma bila kukoment, recently naona kuna watu wameongezeka halafu kama ni replicas za Malafyale!

Full pumba. Sasa eti mtu anamlinganisha Scholes na Hendo!
Hata pumba kuku wanakula ...mtu Kama unamkubali scholes unamdiss Hendo nakushangaa sana ..sioni tofauti (mtazamo wangu) alafu angalia maneno unayokuja nayo unaweza ukajibu bila kuja na maneno ya kejeli mbona mwenzio King Ngwaba anajibu kistaarabu tu hebu jicheck
 
Tunacho shangaa team ikizidiwa huwa anamtoa yeye sasa kama anakubali kama ndo chanzo cha kuzidiwa kwanini awape mizigo kina Faby wakabe na wagawe pasi huoni kuna shida hapo
Mbona husemi game plan imefeli..kocha anabadilisha? Mbona husifii kuwepo hendo ndan na timu inashinda...tutajie hao mnaowataka tuone timu walizopo wanafanya nin..tujifunze kukubali juhudi za mtu
 
Tatizo inafelishwa na Hendo tu.tunashinda akiwepo ndio akiwa kiungo mshambuliaji mchango wake unauonaje?.
Umemuona Chambalin hizi mechi alizopangwa mchango wake tunatamani mpira usiishe utapinga kishabiki ila akiwa Hendo au Livlen nyuma tunaongaza lakini tunatamani lefa amalize gem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom