Jordan Henderson, scored a goal at Anfield for the first time since 2015 (4 STRAIGHT YEARS), but, as always watu wamesahau how shit he is, baada ya lile goal, ambalo ilikuwa ni lazma ajiongeze kufunga baada ya kusababisha goal la Spurs dakika za mwazo kabisa za mchezo (first half), alinyang'anywa mpira baada ya kuwa pressed, then wakati anaenda ku-track back, ended up got turned like a headless chicken na Son, kabla ya goal la Kane.
he was so so so useless in the first half, and below average in the 2nd half, but apparently kuna baadhi ya wachezaji wakifunga goal, ubovu wao wote unaondolewa. Salah kila siku anafunga magoal, but bado watu wanakosoa perfomances zake uwanjani, but Henderson kafunga goal, and he's hailed as a Captain material. Top reds never learns.
and, the sad part is, lile goal ndiyo limempatia free-pass ya kuanza kwenye games zote zilizobakia mpaka December.
We got punished dakika za awali, because of his blunder, we got lucky because Spurs are shit now, kama ndiyo ingekuwa City, tungekuwa tunaongea mingine now.
We should not allow any form of errors kama tunataka kushinda PL this season. if that blunder ingekuwa ni away from Anfield, against any top/organized side, then game ingekuwa imeshaisha.