Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Wanangu Spurs tukavunje record leo
Acheni kumsingizia Le kapteni kwanini mkifungwa mnamlaumu Hendo?
Kwani hendo anacheza mwenyewe uwanjani. Tulieni mnyolewe na maji ya baridi
Mwenye link naomba aiweke NA wenzenu tushuhudie please!Piga mbuzi hao...
Ngoja watakupa mkuu..Mwenye link naomba aiweke NA wenzenu tushuhudie please!
HahahahPiga mbuzi hao...


Utamwona Klopp maji yakishamfika shingoni, atamtoa Hendo. Hapo ndo utaelewa kumbe anajuaga shida n nini![]()
Acheni kumsingizia Le kapteni kwanini mkifungwa mnamlaumu Hendo?
Kwani hendo anacheza mwenyewe uwanjani. Tulieni mnyolewe na maji ya baridi
HT:
Liverpool 0 - 1 Spurs
Wacha tuendelee kustabilize Timu kwanza! Mengine yatafuata baadae
Ivi tupo ugenini?
HT. Liverpool 0-1 Spurs
Bado sana. Kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kufikia angalao nusu ya uwezo wa city.
Ni aibu kwa kweli. Tena anfield
Ngoja tuone second half nini kitatokea. Kama tukipoteza hii game tutakua na hali mbaya.