Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Good 3 points
Good game
On to the next points
Good game
On to the next points
Hendo ni habari nyingine wewe,Mkuu sio wabongo tu
Ata wazungu pia wana hayo mambo tena wale ndo wana passion kuliko sisi kitu kinachofanya waamini kitu cha kijinga wakidhan wako right
Wanaoongoza kumtukana Hendo ni wazungu, ila kati ya hao wote wanajikuta wanajua ni ngum mtu kumreplace Klop, maana najua Klop anaangalia na anajua mchango wake
Nimesema wabongo maana ndio watu nilionao karibu ndo naobishana nao
Mwingine mpaka anakuja kusema Eti kisa Hendo kashinda basi OX na Keita wasahau kucheza, ivi huyo mtu ana akili kweli
Para yako ya mwisho umeandika vyema pmj kuwa inapingana na uhalisia wako ulivyo
Na inaonekana una ugomvi binafsi na king ngwaba nashauri ungemuandikia huko dm kuliko huku kwani kuna heshima unajikosea mwenyew
Wanaohoji na walioponda uwezo wa Henderson ni wengi ktk jukwaa hili,ila wewe umemuona ni king pekee
Pole binaadam mwenzetu na najua ndo ubinaadam ulivyo"huwezi pendwa na wote pia kupenda wote"
Mimi ni shabiki nguli wa JORDAN HENDERSON ila sasa hata kama unamtetea jamaa isifike kipindi ukatukana hadhira yote...Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani
Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
Mimi ni shabiki nguli wa JORDAN HENDERSON ila sasa hata kama unamtetea jamaa isifike kipindi ukatukana hadhira yote...
Alafu unatukana wabongo wakati uandishi wako tu unaonesha wewe ni kijana wa uswahilini kabisa,tena una lugha za kisokonisokoni...
Sio vizuri hivyo mzee,huu ushabiki wa soka ukiuchukulia serious sana unaweza pata shinikizo la damu.....
Atakua anamainisha kufungwa magoli kupitia set piecesChief mbona hata leo tumefungwa goli kwenye epl!!?au ulitaka kumaanisha Nini!!?
Ni ushindi wetu wote wana Liverpool
Kitu kizuri kinakuja
In Klopp we trust
Samahani Kiongozi, Hivi ni mpira tu an una kitu kingine unachokitafuta kwa jamaa,Ifike kwakati tujaribu kuheshimiana tu kiustarabu.Nataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watotokuna wanafamilia wako
Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
Mkuu ukitokea unaoga popote halafu bahat mbaya chizi akachukua taulo lako au nguo na kukimbia nazo,Kama utatoka na kumkimbiza watu wote wanaweza kukuona ewew ndio chizi..Yeah kweli mkuu,
Mi si mpitiaji sana wa comments humu, ila nikipitia napitia nyingi kwa akati moja nilionao
Sio kuwa sipati mda wa kuwa free mchana, la hasha, sema tu ni bora nifanye mambo mengine au nikipitia jf nachungulia kijuujuu naendelea na mambo yng
Leo nimepitia comments tangia za zaman na kuona bado anaendeleza utoto wa kuniattack na kusema tunaomtetea ni maboya, kama mtu ninaeona naattackiwa na mtu anaeattack ni mtu wa aina ninayoijua nami namuattack
View attachment 1246786
Alafu sio kila kosa munambambikiza jamaa kisa hamumpendi tu,Hilo goli yeye mwenyewe mara ya kwanza alichoma
Akarekebisha makosa
Yaani nmetukana kinoma ile mara ya kwanza
Vvd anaweza kucheza mido sio!!?To be honest I am not pleased with Henderson plus Milner.
Hata sijui nini kifanyike ili hawa watu wasiwepo. Nadhani pale kati akiwepo Gini, Fabinho na Keita/Ox panatulia zaidi.
Japo ana faida yake Hendo katika kuleta spirit ndani ya uwanja ila the guy is not good enough for us. Hata Vvd can do that.
Aiseeh watu washavurugwa tayariVvd anaweza kucheza mido sio!!?
To be honest I am not pleased with Henderson plus Milner.
Hata sijui nini kifanyike ili hawa watu wasiwepo. Nadhani pale kati akiwepo Gini, Fabinho na Keita/Ox panatulia zaidi.
Japo ana faida yake Hendo katika kuleta spirit ndani ya uwanja ila the guy is not good enough for us. Hata Vvd can do that.
So unataka tusemaje we jamaaAlafu sio kila kosa munambambikiza jamaa kisa hamumpendi tu,
Yale mabeki yenu VVD na mwenzie yanapitwa kiulaini na Kane anaenda kufunga goli rahisi lakini hamuoni mnatafuta pa kumsilibia mshkaji aliyewaokoa na kichapo....
Aaaaah sio poa mazee,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni....
Hizi personal attacks za maisha zinatoka wapi mkuuNataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watoto wanafamilia wako
Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
Jamaa ye tajiri bwanaMkuu ni mpira tu au una mengine toka moyoni maana unatukana wabongo wote kisa mtu mmoja tu ambae ameweka hoja zake mezani!!? Mbona ni wengi tu hatuna matatizo na Henderson japo madhaifu anayo mengi tu na yanaonekana wazi,mjadala mzur ni ule wa hoja kwa hoja Ila hizo unazozileta ni person attack ambazo sio nzur humu maana wengi hatufahamiani Ila tunajaribu kuongea lugha moja maana tunashabikia lfc sasa ukianza kusema akili zetu wabongo!!!kwani ewew mwenzetu ni mzungu wa wapi!!?
Nataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watoto wanafamilia wako
Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
Tatizo la mashabiki wengi wa liverfool wanadhani wanajua kila kitu kuanzia mpira,utajiri,elimu na upuuzi mwingine ndio maana kwenye jukwaa lao wakipishana kidogo tu wanaparuana kama wajinga tu.
Nadhani humu matumizi ya lugha ya malkia yapunguzwe maana wengine hawaielewi hivyo wanahisi kutukanwa kidhungu,wanafyatuka kama wendawazimu.