msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,707
- 8,843
Leo napenda mpate droo tu
Je babu Lovren lol...
Get well Matip...
Leo Fabby apate kadi njano moja akose game ya Villa au Ganaz..
Ollachuga Oc una nuksi ndugu na mno maana kila ukituombea mambaya sie haoooo tunasonga mbele...Come on Spurs
Piga mbuzi hao..
Leo napenda mpate droo tu
Hopefully itakua hivyo game ya Citi anahitaji ka...Yes....kuanzia dakika ya 80 atafute kadi ya njano ili ifutwe Jumatano.
Leo tuna uhakika Spurs hatotuangusha ..Ollachuga Oc una nuksi ndugu na mno maana kila ukituombea mambaya sie haoooo tunasonga mbele...
Na umeona mwenyewe alicho kifanya mpaka sasa ha ha haaaa le kaputeeeeeeenYani Maestro wetu Hendo alipumzishwa ili acheze mechi kubwa!wale kina Ox na Keita ni wachezaji wa mechi ndogondogo kama za kina Genk.

aiii! Aiii!! Aiii!!hivi ni lini klopp atajua kuwa huyu henderson hana kiwango cha kuanzaHa ha ha haaaaa mnamuona kaputeeeeeeeeen?
Mapka sasa kapoteza mipira mitatu mmoja ndo huo umezaa galiHivi mumeona alichokicheza Henderson mpaka akapoteza mpira uliozaa goli?
Then anatokea Boya anasema Henderson abastabilize Timu! Yani ni ujinga tu.
Ha ha haaaaaa we jamaaa utafikili umefurahia yanai dah kulop bhanaHendo huyoooo!!!aiii! Aiii!! Aiii!!
Stabilize babaa



Dejan ana kimav na spurs anatesekaga Sana dah siamin Kama kaanza leo