Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Usishangae Man of the match Hendo haha..Kipa wa TOT aisee

Wow this bald Samba boy Leo hana kumtoa kwenye MOTMFabinho v Tottenham:
Minutes - 90
Touches - 111
91 - Passes
85% - Accurate Passes
2 - Chances Created
2 - Key Passes
7 - Long Balls
8 - Duels Won
3 - Interceptions
4 - Tackles
11 - Recoveries
MOTM performance from The Lighthouse Fabinho Tavares![]()
Yaah kipa wao yupo vzur mnooMpira umechezwa sana mkuu sema magoli yalikuwa yamegoma tu kutinga nyavuni
Manyumbu walibebwa na refa siku ileSure kwa siku za karibuni sijaona liverpool wakicheza kwa spirit kama ya leo, huu msako wa leo ndo ungetokea kwa manure siku ile tusingepoteza points kwa kwa shetani
I totally concur with you, boss.Bwana wee huyu ndogo ndio kwanza ana miaka 26 hivyo tunae Sana tu pale kati hana Wa kumtoa Kwa sasa..
Leo kote kapata tick
ball retention
️
ball distribution
️
Accurate pass
️
Keeping Position
️
Aerial prowess
️
Closing channels
️
Starting attacks
️
No card...
️
Still to lose EPL game in Reds colour.. Today's was his 30th game
Man of the match kwangu..
Tulikuwa tunamlenga sana.Yaah kipa wao yupo vzur mnoo
Nilisema kila mchezaji ni muhimu na ana siki yake ya mchango wako...sawa wana makosa kila mtu anayo but nao wana mchango pia kwa timu. So support ni muhimu kwao.Game ya pili hii tunaokolewa na magarasa yetu Lallana na Hendo resp
That was a penalty and possibly a card before he scoredGame ya pili hii tunaokolewa na magarasa yetu Lallana na Hendo resp
Hivi mumeona alichokicheza Henderson mpaka akapoteza mpira uliozaa goli?
Then anatokea Boya anasema Henderson abastabilize Timu! Yani ni ujinga tu.
Mkuu ni mpira tu au una mengine toka moyoni maana unatukana wabongo wote kisa mtu mmoja tu ambae ameweka hoja zake mezani!!? Mbona ni wengi tu hatuna matatizo na Henderson japo madhaifu anayo mengi tu na yanaonekana wazi,mjadala mzur ni ule wa hoja kwa hoja Ila hizo unazozileta ni person attack ambazo sio nzur humu maana wengi hatufahamiani Ila tunajaribu kuongea lugha moja maana tunashabikia lfc sasa ukianza kusema akili zetu wabongo!!!kwani ewew mwenzetu ni mzungu wa wapi!!?Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani
Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
Chief mbona hata leo tumefungwa goli kwenye epl!!?au ulitaka kumaanisha Nini!!?Wakuu hivi mnakumbuka mara ya mwisho Liverpool kufungwa goli la kwenye epl?
Liverpool tuko vizuri sana kwenye kuzuia hiyo mipira ya kona ,yaani pakiwa na kona sinaga wasiwasi kabisa najua vvd anaokoa hiyo au matip.watu wakiwa wanashangilia wamepata kona me nakuwa nacheka kabisa najua kabisa hakuna goli hapo .
Mkuu ni mpira tu au una mengine toka moyoni maana unatukana wabongo wote kisa mtu mmoja tu ambae ameweka hoja zake mezani!!? Mbona ni wengi tu hatuna matatizo na Henderson japo madhaifu anayo mengi tu na yanaonekana wazi,mjadala mzur ni ule wa hoja kwa hoja Ila hizo unazozileta ni person attack ambazo sio nzur humu maana wengi hatufahamiani Ila tunajaribu kuongea lugha moja maana tunashabikia lfc sasa ukianza kusema akili zetu wabongo!!!kwani ewew mwenzetu ni mzungu wa wapi!!?
Para yako ya mwisho umeandika vyema pmj kuwa inapingana na uhalisia wako ulivyoWabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani
Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku[/color=red]