Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa ye tajiri bwana

Hahaha... Mzee unajua huyu jamaa ni mjinga sana

Sasa kila mtu aanze kujisifia humu mali zake patakalika kweli humu

Yaani katoka kwenye mpira kaja kwenye possesions
Hahaha kesho naenda kumnunulia baba mkwe range rover mimi ni tajiri sana hahahaha mkuu unakwama wapi,

Jiachie na wewe taja mali zako hapa hakuna kuleta unyonge...

Ila Washabiki wa liver huwaga nawakubali sana sema kuna wapuuzi wachache wanazingua sana hasa wale wanaoibuka kipindi cha mafanikio...

Ikifika kipindi cha msoto mnamsusia Malafyale jukwaa hili..

Sisi Halisi tunasema hivi hapa sio uwanja wa kutangazia utajiri,kama wewe tajiri changia hata JF uwe na japo kahadhi ya PLATNUM kwanza....
 
Yani nikikuangalia kule kwenye Thread yanu munavyowakataa kina Willock na Mustafi sijui niseme nini!
Sisi Kocha ndio miyeyusho mkuu,
Kocha analazimisha washabiki wachukie wachezaji na ndio maana unakuta hakuna shabiki anayesema toa mchezaji flan bali ni

EMERY OUT.

maana waliopo ndio wachezaji wetu na tunawakubali sasa hata tukitamani Sokratic acheze kama VVD haiwezi kuwa ila kocha atumie mbinu zake basi,hao kina Rodgers,Nuno,Silva,Howez wanawezaje?mbona wachezaji wao ni wa kawaida tu ukilinganisha na wa kwetu ila timu zao ni nzuri.

Amini usiamini Unai hata apewe hiyo Liver hapo ujue itakuwa timu ya kawaida tu,huyo mane atakuwa kama Maitland Niles yaani hakuna kocha mule
 
Hahaha kesho naenda kumnunulia baba mkwe range rover mimi ni tajiri sana hahahaha mkuu unakwama wapi,

Jiachie na wewe taja mali zako hapa hakuna kuleta unyonge...

Ila Washabiki wa liver huwaga nawakubali sana sema kuna wapuuzi wachache wanazingua sana hasa wale wanaoibuka kipindi cha mafanikio...

Ikifika kipindi cha msoto mnamsusia Malafyale jukwaa hili..

Sisi Halisi tunasema hivi hapa sio uwanja wa kutangazia utajiri,kama wewe tajiri changia hata JF uwe na japo kahadhi ya PLATNUM kwanza....
Hapa ni soka
Hayo ya utajiri ni huko huko kwenu
Liverpool ninayo wkt wa shida na wkt wa raha
 
Adimu sana mzee baba,
Naona wale antiHENDO wanachungulia kwa mbaaaaaali kwa jicho moja....hahahah

Hongereni kwa ushindi wana Liverpool wote.

UNAI OUT
Nilikuwa safari kidogo
Sasa nimerudi home Ikwiriri
May 2020
Bingwa Liverpool
wa pili Chelsea
Wekea nyota hii msg
 
Hata hivyo napongeza kuibuka Tajiri ndani ya huu Uzi
Mkuu kuna siku mtaoga mabundle humu ...hahahaaaaaa jamaa kaniPM kasema ana mpango wa kugawa iphone x kwa mashabiki wote wa liver maana wengi wenu mnatumia itel eti hahahahaaaaaaaa
 
Nilikuwa safari kidogo
Sasa nimerudi home Ikwiriri
May 2020
Bingwa Liverpool
wa pili Chelsea
Wekea nyota hii msg
Hapo kwa Chelsea ushaharibu maana kuna vijamaa vitakuja mbio mbio hapa sasa hivi....

Cc. @Ollachuga
 
Kwahiyo mkuu unatamani uonane nae umpe kazi au?
Nataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watoto wanafamilia wako

Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
 
Ukishaona kama kijana unafikia hatua ya kumuatak mtu badala ya kuatak hoja yake ni dalili za wivu , ni dalili za umama tayari.
Mbona iko wazi king ngwaba kaleta hoja zake hapa kwa takwimu kabisa na amekuzidi?
Yawezekana una hoja labda ila umeshindwa kuleta takwimu za kudefend hoja yako.
Sasa kama mwanaume unafikia hatua ya kumwambia mwenzako inaonekana huna mbele wala nyuma wala huna kazi huo ni upumbavu sana.
Rudi kwenye mjadala achana na upumbavu wa kupaniki kijinga hapa.
Shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja.
 
Mkuu sio wabongo tu
Ata wazungu pia wana hayo mambo tena wale ndo wana passion kuliko sisi kitu kinachofanya waamini kitu cha kijinga wakidhan wako right
Wanaoongoza kumtukana Hendo ni wazungu, ila kati ya hao wote wanajikuta wanajua ni ngum mtu kumreplace Klop, maana najua Klop anaangalia na anajua mchango wake
Nimesema wabongo maana ndio watu nilionao karibu ndo naobishana nao
Mwingine mpaka anakuja kusema Eti kisa Hendo kashinda basi OX na Keita wasahau kucheza, ivi huyo mtu ana akili kweli
Inferiority complex
 
Ukishaona kama kijana unafikia hatua ya kumuatak mtu badala ya kuatak hoja yake ni dalili za wivu , ni dalili za umama tayari.
Mbona iko wazi king ngwaba kaleta hoja zake hapa kwa takwimu kabisa na amekuzidi?
Yawezekana una hoja labda ila umeshindwa kuleta takwimu za kudefend hoja yako.
Sasa kama mwanaume unafikia hatua ya kumwambia mwenzako inaonekana huna mbele wala nyuma wala huna kazi huo ni upumbavu sana.
Rudi kwenye mjadala achana na upumbavu wa kupaniki kijinga hapa.
Shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja.
Heshimu tajiri mkuu....

Fwedhwaaaa, Fedhwaaaa ni sabuni ya roho...jamaa ana ukwasi huyo
 
Hongereni kwa ushindi wa jana hakika kwa mwendo huu ni ishara kwamba mna zaidi ya asilimia 80 kuchukua EPL japo ni mapema. Yan ukishakua na uhakika wa kupata matokeo kati ya timu za top six tena nyingine ugenini unakua na uhakika wa kuchukua ligi.

Mimi nasema mapema kama mtaendelea hivi mnaweza futa kilio cha miaka 29.
 
Hahaha kesho naenda kumnunulia baba mkwe range rover mimi ni tajiri sana hahahaha mkuu unakwama wapi,

Jiachie na wewe taja mali zako hapa hakuna kuleta unyonge...

Ila Washabiki wa liver huwaga nawakubali sana sema kuna wapuuzi wachache wanazingua sana hasa wale wanaoibuka kipindi cha mafanikio...

Ikifika kipindi cha msoto mnamsusia Malafyale jukwaa hili..

Sisi Halisi tunasema hivi hapa sio uwanja wa kutangazia utajiri,kama wewe tajiri changia hata JF uwe na japo kahadhi ya PLATNUM kwanza....
Wapi nimesema mimi ni tajiri.... Hebu nionyeshe nilipoongea
 
Wajina jana mmecheza nini sasa mechi yakushunda ile mnatoa droo?

Huyo tajiri simuulizi tena swali.

Wajina mimi nilishasemaga kuhusu Kanjibhai so nilishajipanga kisaikolojianajua tutateseka msimu huu tu,next season tutakuwa tumeingia katika utawala wetusasa hivi tupo katika msoto kwa muda

UNAI OUT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom