hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Nometuma link ya grup la mafans wa liverpool iloapo juu![]()
Mzee wa nyumba ushatia timuHapa ni soka
Hayo ya utajiri ni huko huko kwenu
Liverpool ninayo wkt wa shida na wkt wa raha
Henderson ni worst player ever kuchezea Liverpool FXI
Hayo sio maswali ya kumuuliza tajiri mkuu,
Hahahaaaa unakwama wapi wajina wangu....
Hapo kwa Chelsea ushaharibu maana kuna vijamaa vitakuja mbio mbio hapa sasa hivi....
Cc. @Ollachuga





Alafu sio kila kosa munambambikiza jamaa kisa hamumpendi tu,
Yale mabeki yenu VVD na mwenzie yanapitwa kiulaini na Kane anaenda kufunga goli rahisi lakini hamuoni mnatafuta pa kumsilibia mshkaji aliyewaokoa na kichapo....
Aaaaah sio poa mazee,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni....
Nilikuwa safari kidogo
Sasa nimerudi home Ikwiriri
May 2020
Bingwa Liverpool
wa pili Chelsea
Wekea nyota hii msg
Bro karibu nilikuwa najiuliza yule jamaaa mtabiri maarufu wa liverpool siku hizi kapotelea wapi?.
Kumbe ulikuwa chimbo?
Karibu sana. Pia hongera kwa ushindi dhidi ya Spurs.
Mapambano yanaendelea. Aroon wa asernal naona amejipiga ban. Baada ya utabiri wake kugonga mwamba
Alikuwa akiubiri baada ya mechi 10 chelsea atakuwa nafasi ya 15. Toka last week sijamuona.
Sana yaani sana si unajua tajiri akiwepo mahala hapaharibiki kituNaona umefurahi sana kuona Tajiri ndani ya JF
Tumpe pongezi keeper wa spurs alicheza michomo
💯💯💯💯💯🙌🙌🙌I totally concur with you, boss.
He is still a bam that super known hii one moment wonder can't change thatThat was a penalty and possibly a card before he scored
But credit to Henderson, he was very poor in the first half
It just shows how scoring changed our perception Kwa Henderson.... But he is poor and doesn't NOT deserve a place in the starting 11
Je Xaka nae vipi Mkuu Dully...Adimu sana mzee baba,
Naona wale antiHENDO wanachungulia kwa mbaaaaaali kwa jicho moja....hahahah
Hongereni kwa ushindi wana Liverpool wote.
UNAI OUT
Ni kama ndogo hayupo 100 Kwa 100...Robbo yupo Vuzuri ingawa anahitajika kuongeza umakini zaidi kwenye kutia Cross