mimi naona tatizo ni midfield.
tumezoea kuiona midfield yetu ambayo ni compact lakini kwenye game la ManCity first half na ya leo yote pale kati hapakuwa solid.

normally midfield yetu Klopp kaitengeneza ku support zaidi defence ili fullbacks ndiyo wawe wana bomb forward kutengeneza nafasi. ndiyo maana siku ya ManCity na hata leo TAA alionekana ni uchochoro kwani kina Hendo walikuwa nyoronyoro kumlinda.

watu wanai credit defence yetu pekee kuwa ndiyo iliyotufanya tuwe wagumu kufungika msimu uliopita lakini wanasahau role kubwa iliyofanywa ba midfield kwenye achievement hiyo.

Klopp inabidi awapigishe kwata midfielders wote kabla hawajalala leo ili washike adabu games zinazokuja nyambafu!

Umeongea kweli! Hofu yangu ni kuwa tunaweza kukoncede magoli mengi na ya kizembe kuliko kawaida.
 
Hongereni kwa ushindi mnono dhidi ya vibonde wa Norwich City na pia kwa kuongoza ligi from day one
Kwa maoni yangu beki sio wa kumlaumu kwa goli lile la Pukki
Huyu Pukki ni bahati mbaya tu yuko kwenye timu kama ya Norwich, ni mchezaji anayejua kuposition na mwenye shabaha kufunga.
Huyo Pukki angekuwa Liverpool msimu angefunga sio chini ya 30 goals
Hata hivyo kwa ujumla mwaka huu hautakuwa kama mwaka jana, Competition ya top 6 itakuwa kubwa zaidi na gap itakuwa ndogo hata kama livger au city watachukua ubingwa lakini sio kwa vita vya mafahali wawili bali mafahali sita watapambana
 
Norwich vibonde kwakuwa wamefungwa na Liverpool?

Natumai nanyinyi mutacheza nao lakini uniquote kama kunikumbusha siku mutakayochezanao ili niifatilie game
 
mimi naona tatizo ni midfield.
tumezoea kuiona midfield yetu ambayo ni compact lakini kwenye game la ManCity first half na ya leo yote pale kati hapakuwa solid.

normally midfield yetu Klopp kaitengeneza ku support zaidi defence ili fullbacks ndiyo wawe wana bomb forward kutengeneza nafasi. ndiyo maana siku ya ManCity na hata leo TAA alionekana ni uchochoro kwani kina Hendo walikuwa nyoronyoro kumlinda.

watu wanai credit defence yetu pekee kuwa ndiyo iliyotufanya tuwe wagumu kufungika msimu uliopita lakini wanasahau role kubwa iliyofanywa ba midfield kwenye achievement hiyo.

Klopp inabidi awapigishe kwata midfielders wote kabla hawajalala leo ili washike adabu games zinazokuja nyambafu!
i mean... Hendo was so woeful but he was still rated the best midfielder of the 3 on the night - can you imagine? this just goes on to tell you how bad our midfield was.

for instance goli la Norwich.... lilitokana na makosa ya Fabinho na Hendo - walikuwa reduced kuwa ball-watchers badala ya ku-press against the Norwich player aliyetoa assist. i have never seen our midfield playing that slackly on a defensive mode. hata timu ingekuwa na backline ya kina VVD, Rio, Vidic, Nesta, Canavaro lile goli lingeingia tu kwani uzembe tayari ulikuwa umeshafanyika kwenye protecting line.

but i hope hii ilikuwa "banana skin" test associated with the first season's game kama alivyosema Klopp kwenye match preview.

elsewhere on the pitch, i think forward line yetu iko vizuri tu (Bobbie & Salah wameanza kwa gear kubwa!).
personally sina concern kubwa na defence, it's the same old solid animal, bar kuumia kwa Alisson.
 
OTE="AROON, post: 32438772, member: 236445"]
Hivi unajua Everton, Leicester , Watford ,wolves wana forward Kali kuliko man u & Chelsea ?
unajua

Unajua kwamba timu zote EPL manutd ndo kwenye back line Kali kuliko zote. Na kiungo wa dunia Pogboom.
[/QUOTE]
subiri angalau hio backline yako icheze mechi kumi ndio hayo maneno utuletee humu...
 
Last season Salah alianza Ligi kama Mrisho Ngassa but this season he is on fire mwanzo wa Msimu.

This man gonna be top scorer again even the Salah's hater don't like him... Si Owen,Si Torres, Si Suarez aliyeweza kukifanya anachokifanya Salah.

Ni Liverpiool's Savior mpya since Aian Rash alipo retire kucheza footballe.
 
I beg to differ! Tusijudge kuwa Manure wana strongest back line before playing even one EPL game.

Wacha kwanza wacheze at least mechi 10 za EPL tuone watakavyoperform then ndiyo tujudge kwamba wanabeki ngumu au ni shit defence as usual.

Still tukisetle kwenye Mido na Gomez akiwa fiti after 3 more games naamini kuwa sisi ndiyo wenye na Strongest defence in EPL.

Muhimu Becker arudi mapema tu.
 
Last season Salah alianza Ligi kama Mrisho Ngassa but this season he is on fire mwanzo wa Msimu.

This man gonna be top scorer again even the Salah's hater don't like him... Si Owen,Si Torres, Si Suarez aliyeweza kukifanya anachokifanya Salah.

Ni Liverpiool's Savior mpya since Aian Rash alipo retire kucheza footballe.

Sema aache katabia kauchoyo akiwa karibu na goli amuige Bobby
 
Back
Top Bottom