Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Njoo 4040 hapa tuangalie mpira huku tukiburudika na bogos musica
Dah! Angalau umerudi
Njoo 4040 hapa tuangalie mpira huku tukiburudika na bogos musica



Hivi unajua Everton, Leicester , Watford ,wolves wana forward Kali kuliko man u & Chelsea ?Shindeni hata mia Leo ila mume wenu mnamjua ni nani. Msimu huu hata kombe LA mbuzi hambebi.
Msimu uliopita ilikua nguvu ya soda na ndo gesi inaishia hivyo. Itafika kipindi mtaanza kasema KLOOP OUT hapo ndo mtajua msiba ni nyumba hadi nyumba.
Liverfools majogoo yasiyo rizki.
Kila MTU ashinde za nyumbani ndo kauli ya EPL msimu huu. Mkija O.T tunawachinja na msumeno butu.