Kumbe ni utabiri tu?
Halafu utabiri wote naona umebase na position za last season kwa asilimia 90% kama sio 95%.
Nakuhakikishia Man United anaingia Top Four, Na nakihakikishia Chelsea haingii Top Four.
Mpaka hapo Hao BT Sport utabiri wao wameingia chaka.
Nimeyaandika haya kwa kuzingatia (Only Top 6):
1) Uwezo wa wachezaji binafsi kwenye timu.
2) uatayari wa wachezaji kujitoa kwa timu.
3) Uwezo wa kocha
Chelsea munajifanya kutoona athari ya kuondoka Hazard lakini time will tell.
Tuliona wazi Hazard alipowapa matokeo katika Mazingira magumu kwa jitihada zake binafsi either kwa kufunga au kutengeneza nafasi/Kuassist.
Lakini msimu huu ndiyo awavuushe aabraham? Jiroud? Au Barkley?
Mkuu hamuna timu acheni kujidanganya.
Huyo Luiz muliyemdharau pengo lake mutalililia na Zouma wenu.