Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

wapo wengu Sterling, Surez n.k wameisoma namba...Liverpool is made for this
Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.
 
wapo wengu Sterling, Surez n.k wameisoma namba...Liverpool is made for this
Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.
 
Niumie nni?? Ila ukweli lazima usemwe kuwa final ilikua mbovu sana..... Bora hata mechi ya barca na liver mlioshinda 4 kidogo ilikuwa na mshike mshike ila hii imedorora mno way below expectations.

Spurs were shit.... Liver were blunt
ndugu Liverpool hii ishakomaa...twasema winning ugly period..hayo yakuboa hayatuhusu.
 
Hahaaa...akina kiduku"Sterling" wana hati ya kukosa kushiriki EUFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani maana bado hatma yao haijajulikana kule FIFA kwa matumizi ya juu kifedha kuliko uhalisia wa uwezo wa Man City ktk usajili wa wachezaji mbali mbali.
hahahaha UCL wataisikia kwa wengine, hili sio Carabo...na wafungiwe sasa zile nyimbo zao za kejeli sijui watamwambia nani maana sie tumepata kubwa lao..
 
Duh, fabinho kapotea lini mkuu, keita ukiacha majeruhi lini ka underperform?
 
Semi final ilikuwa kali kuliko hii final ya jana. Mungekutana na timu kama man city au Chelsea tungeongea mengine leo.

Hongereni Sana.

#TukutaneSuperCup
Unajuwa ni kweli jana haikuwa kama semi final kwa sababu, moja mechi ya semi final tulikuwa hatuna option ilikuwa ni lazima tu twende nguvu zote ili tuweze kupita na ndio maana ilikuwa ni press tu mwanzo mwisho. sasa jana kuna vitu viwili vilifanya game iwe vile, Liver walikuwa na wasiwasi na matokeo ya mwaka jana na history ya kocha kuwa kila final anapoteza. kupata goal moja mapema ikabadili tactic ya team kuwa fullbacks wasipande ikawa tumepunguza speed ya kwenda wengi mbele sasa ingetokea Spurs ndio kupata goal sio Liver hapo tungeona game lakini kikubwa kwa sisi Liver sio kucheza vizuri ni kushinda kombe maana tulicheza vizuri Barcelona tukaishia kupigwa 3 ikabaki story zote Mess utasema hatukucheza jana itabaki Liver tu sababu tumeshinda.
 
Fabinyo? Upo serious mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…