Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Ni kumvumilia Ole
Msipende mafanikio ya haraka,mpeni muda Ole achukue wachezaji anao wataka tena wasio na majina
 

We will beat Spurs left and right!
I dont wanna to face rejuvenated Ajax
 
Kwamba Man Shit anapigwa nasi tunawachapa madogi pori? We jamaa ntakuachia mchepuko wangu uufanyie Ugwajima wallah

Kaka BHA wameimarika sana
Kaone game ya FA nusu final kati ya BHA vs Man City Wembley!
Baada ya Jesus kufunga bao dakika ya 3 wale vijana walicheza soka saafi sana lkn ikaisha 1-0
 
Matokeo ya jana yameumbua poor defence ya Barca waliyonayo, wasipofanyia kazi msimu ujao watakuwa Teja hata ndani ya Laliga
 
Kaka hatulikosi hilo
Uwepo hapa Jumapili na mapema kaka
Kama mnategemea brighton awaletee epl hapo ndio napozid kusema liverpool mmevurugwa

Klop ana gundu tu, final huwa anazingua toka dortmund

Uefa bado hamjachukua, ila mtashiriki final tu
 
Mnarudia rudia tu jamani. Kwa walioangalia mpira live, Barca walikuwa kawaida tu ila tatizo alikuwa ni Messi. Hii ilishasemwa vizuri huko nyuma. Ndio maana Liverpool inabidi waombe Messi augue. Walahi nakuambia Barca-Messi is nothing
Niliwahi kusema wiki iliyopita kuwa Barca wa kawaida mno, bila Messi au Messi asipokuwa kwenye form au Messi akikatiwa mawasiliano Barca ni Rahisi kuwafunga na one of the Best team in EPL kama Liverpool
 
Naona Liverpool wameufuata ushauri wangu wa kufuata ushauri wa Alisson kumuondoa Barca kwa mara ya Pili. Kwanza akiwa na AS Roma kwenye quarter final na sasa akiwa na Liverpool kwenye semi final
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…