FWBTZ
Member
- Sep 20, 2018
- 90
- 88
Majogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayai.
Siwezi kuyaogopa.





Majogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayai.
Siwezi kuyaogopa.





Mtazame shabiki wa Livapuru popote ulipo, mkumbatie kisha mwambie HAKIKA WEWE NI MSHINDI![]()
Ni raha raha tuuu.....hakuna kilioView attachment 1085909View attachment 1085911
Kuna mmoja nimemwambia "AMANI YA BWANA IWE JUU YAKO" sikumbuki kilichonitokea nimekuja kupata fahamu baada ya masaa mawili
Mimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
Alitamba sana akasahau barca ni wakawaida ila wana messi anazijua mechi kubwa kuzimaliza kwa sekunde
Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .
Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.
Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .
kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.
Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.
Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .
Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.
Barca wa kawaida sana,anfield pale tunawakalisha hawa.anfield pale dak10 za mwanzo tuki pata goli tunawatoa hao.tutabrow zeiya maindi without magic.
Nadhani leo mkuu utakuwa na furaha?
Bangi mbaya sana ubaya wa Liverfool mnakujaga na matokeo yenu mkononi anflied mkikaza Kwa nguvu ya bange mnatoa draw
Fukua baba na hatulali every body say yeeeaaaaah chiiiiiiiiiiiMkuu anfield tumeshinda 4 bila.niliongea hapa dak10 za mwanzo tukipata goli tunawatoa hao.tumepata goli dak7.,ulichonijibu ndio nilichokiwekea hapo juu.
Mkuu me mpira naujua vizuri sana tu.
You believed till the end my brother.Mkuu tusiposhangilia sisi nani atashangilia?
AND THIS IS LIVERPOOL. IT MEANS MORE

