FWBTZ
Member
- Sep 20, 2018
- 90
- 88
Daaah mzee baba makaburi mengine yakaushie banaa![]()




We Tulia mkuu.Daaah mzee baba makaburi mengine yakaushie banaa![]()




We Tulia mkuu.
Salah na Firmino leo wangeanza tusingeshinda
Unafukua kaburi la Kanumba ili iweje? Lulu kashaachiwa huru kwa msamaha wa Amiri jeshi mkuu... na Amiri jeshi mkuu ndo mume wa huyo jamaa....Ili kaburi la aroon wakuu ..lifukuliwee![]()
Umewahi kumsikia Messi the giant slayer?
Hata mimi naweza hivyo. Huu ulikuwa mpango wa Mungu wallahSalah na Firmino leo wangeanza tusingeshinda
Barcelona have never eliminated Liverpool from European competition with the Reds unbeaten in four trips to Camp Nou and the only English team to win there.
naomba usiweke Pep plze ni kocha wa kucheza bahati nasibu, mm philosophy ya mpira wake siipendi wala hata chembe na yy simpendi, Klopp is the best ever bro.!Kaka nakuambia kila siku Liverpool tulipata sana bahati kumpata Klopp!
Hapa duniani kwa sasa nambadiri Klopp na PEP tu
Hata Man City kama kumuondoa Pep basi wapate Klopp
Tunachukua EPL Jumapili,hawa Man City kumfunga BHA ni ngumu kaka
Klop anatupangia kikosi gani hiki..tumeshatoka
Vijana wanapambana sana!
Liverpool HALISI tuwe nyuma ya vijana!
Mungu ibariki Liverpool
Pengo la alxender anord linaonekana mipira mingi inapita kwa Gomez
Bado bao 3 kutoka kwa fundi Lionel Messi. Kuku leo mtataga kila aina ya mayai.
Kocha mwenyewe kajichanganya kupanga timu unamuachaje nje Fermino na Alexander anord?
Unacheza defensive gema wakati Barcelona hawana beki .
Liverpool HALISI tuwe behind ya team,vijana wanapambana sana na matokeo yatakuja tu!
Waachieni LIVERPOOL FEKI waendelee kuitukana team!
Sisi tupo na Mungu ,Liverpool FEKI wapo na shetani
Henderson Ni mchezaji wa kiwango Cha chini ..

,barca hawaamini wanachokiona Liverpool 4 barcelona 0 . Na Henderson huyo huyo wa kiwango cha chini.in klopp we trust