Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hahaaaaa wewe jamaa mchokoz sanaMungekuwa na ntu kama Higuan au Hazard msingepigwa nyingi ivyo..hahahahahahahaha
Hahaaaaa wewe jamaa mchokoz sanaMungekuwa na ntu kama Higuan au Hazard msingepigwa nyingi ivyo..hahahahahahahaha
Duuu 😁😁😁😁😁 cc King NgwabaMnakomaa mpk Mei alafu vikombe vyote mnapoteza within 2 weeks.. Hii haina tofauti na kujifunika shuka alafu unajamba[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1085902
Hii ndo maana halisi ya MPENZI MTAZAMAJI[emoji28][emoji28]
Duu jamaa anakaba kwa macho. Poor van dijkView attachment 1085902
Hii ndo maana halisi ya MPENZI MTAZAMAJI[emoji28][emoji28]
Hahahaahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu sasa uchokozi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]angetakiwa atumie ile tuzo aliyopewa kuzuia goli
Tena Matata sanahahahahaha Pierre super sub iyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apo ata wangeunganishwa makipa watatu huu mpira wasingedaka...pension Goli la 3 la Messi hadi Klopp meno nje nje wewe nani unune??
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1085910
Lingekuwa lile pazia lako LENO ndio lingeufata siopension Goli la 3 la Messi hadi Klopp meno nje nje wewe nani unune??
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1085910
RelaxLingekuwa lile pazia lako LENO ndio lingeufata sio
HaaaaaaaaYan kwanza liverpool wajitoe EPL kabsa waende championship kikos kizima kama kilivyo kikabebe hata kombe la Champiomship ndy waje epl tena.
Hata nzi hawabebi msimu huu
Mess sijui kamtorokaje paleBeki wa Dunia leo alikuwa mpenzi mtazamaji, refer goli la pili
Huu hata makipa wote 20 wa EPL wakiungana apo awadaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pension Goli la 3 la Messi hadi Klopp meno nje nje wewe nani unune??
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1085910
Waongea kiingereza hao u known kibao kumbe mavi tuMtazame shabiki wa Livapuru popote ulipo, mkumbatie kisha mwambie HAKIKA WEWE NI MSHINDI[emoji28][emoji28][emoji28]