Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa barça hadi wakawa kama wanapaki basi kimtindo mimi naona kikosi pamoja na Subs aliyumba Firmino alitakiwa sub yake aingie mapema
Ile nou camp jaman, kwanza mashabik WA liver waliwekwa kule juu kabisa halafu walikuwa wachache, halafu marefa wanatoa advantage sana kwa barca akiwa nou camp,

Liver Leo alikuwa afe tu
 
Yani hadi nimekumbuka ile mechi ya Intermillan Vs Barca walipotolewa kwa matokeo ya 1-0 nakati Barca ilitawala kila kitu, sometimes mpira hauko fair kabisa kimatokeo
Kabisa barça hadi wakawa kama wanapaki basi kimtindo mimi naona kikosi pamoja na Subs aliyumba Firmino alitakiwa sub yake aingie mapema
 
Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .

Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.

Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .

kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.

Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.

Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .

Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.
Kiufupi tu ni kuwa Barca ilicheza kama Liverpool na Liverpool ilijifanya kucheza kama barca
 
Barca wa kawaida sana,anfield pale tunawakalisha hawa.anfield pale dak10 za mwanzo tuki pata goli tunawatoa hao.tutabrow zeiya maindi without magic.
 
Kabisa yani leo Refa hakuwa fair kabisa, yani Barca hakuna alichocheza kabisa zaidi ya kupaki basi tu golini, Liverpool hakustahili kupoteza hii mechi hata kdg
Ile nou camp jaman, kwanza mashabik WA liver waliwekwa kule juu kabisa halafu walikuwa wachache, halafu marefa wanatoa advantage sana kwa barca akiwa nou camp,

Liver Leo alikuwa afe tu
 
Barca wa kawaida sana,anfield pale tunawakalisha hawa.anfield pale dak10 za mwanzo tuki pata goli tunawatoa hao.tutabrow zeiya maindi without magic.
Bangi mbaya sana ubaya wa Liverfool mnakujaga na matokeo yenu mkononi anflied mkikaza Kwa nguvu ya bange mnatoa draw
 
Messi vs Ronaldo ngazi za vilabu
::
Cristiano Ronaldo: Mechi: 801
Magoli: 600
Assists 199
::
Lionel Messi:
Mechi: 683
Magoli: 600
Assists 233
::
Tufunge mjadala au tuendelee?
 
Kabisa yani leo Refa hakuwa fair kabisa, yani Barca hakuna alichocheza kabisa zaidi ya kupaki basi tu golini, Liverpool hakustahili kupoteza hii mechi hata kdg
Barca kukaa nyuma refa inamuhusu nini?

Liverpool sio type ya barc liver ni ya kucheza na Burnley tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom