Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

pension Goli la 3 la Messi hadi Klopp meno nje nje wewe nani unune??
View attachment 1085910
Mimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
 
Hallelujah
 
Hahaaa wewe jamaa unanichekesha,ila huyu jamaa bora apate penati, sio faulo maeneo yale
 
Mimi mwenyewe hakuna timu siipendi duniani kama Barca ndio maana leo nikawa mshabiki feki wa livapuru lkn goli la tatu Messi alivyoshinda nikashangilia tu yaani automatic mwili ukaniambia wewe kijana kwa nini ujitese basi tokea muda huo nikashabikia rasmi Barça mpk mpira unaisha
Kocha wa Liverpool hana bahati kabisa, ukiangalia mechi ya leo vzr ni 60% Liverpool walistahili kushinda kabisa.
 
Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .

Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.

Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .

kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.

Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.

Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .

Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.
 
Kabisa barça hadi wakawa kama wanapaki basi kimtindo mimi naona kikosi pamoja na Subs aliyumba Firmino alitakiwa sub yake aingie mapema
 
Timu imecheza vizuri sana tuliwazidi barca kila kitu,mbinu ya kumueka gini kule pembeni imefanya kazi.klopp alikuwa na mbinu nzuri kabisa .

Washambulia wamenzingua wanakosa magoli ya wazi halafu wanakuwa na wasiwasi kwenye kufunga,tunashindwa kufunga hata nafasi za wazi.

Na pia Kuumia kwa keita pia kumechangia,Henderson alivyoingia akaalibi awezi kudrible yeye anatoa passi tu .

kipindi cha pili mwanzoni barca wakawa wanautafuta mpira kwa torch .barca walikamatwa kila engo.

Timu imecheza vizuri sana,nafasi za kufunga tunakosa,me sikuwa na pressure ya kushambuliwa kila wakati maana muda mwingi Liverpool ndio anamiliki mpira.

Kikubwa kwenye kuscore tu forward zetu zimeonekana kupoteza umakini .

Barca wakawaida sana hawana mpira wowote wa kutisha. In klopp we trust.
Ni kweli mliwashia hasa dk za 50-60

Ila ndio hivo , tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom