Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Itabidi nicheke tu! Yani kipigo Kitakatifu chote tulichochezea still anatokea Mtu analeta excuse? Kweli huyu ni Malafyale! Sijui hili jina kwa kabila lake lina maana gani!
Mwaka jana AS Roma walimuondoa Barca kwa staili ngumu
Cam nou Barca alishinda 4-1
Roma akashindwa kwa 3-0 na kutolewa wachezaji hawa hawa
Kipa wa Roma alikuwa ni huyu huyu wa Liverpool, Alison
Liverppol wamtumie Alisson maana siri ya ile comeback waliotumia Eusebio De Francesco mwaka jana anaijua
mpira ni mchezo wa watu 11 team work ni muhimu saanaNilichogundua kingine king unampenda Sana malafyale maana kila mda unamtaja taja Sana...Akija usianze kulalamika chief.Itabidi nicheke tu! Yani kipigo Kitakatifu chote tulichochezea still anatokea Mtu analeta excuse? Kweli huyu ni Malafyale! Sijui hili jina kwa kabila lake lina maana gani!
Sasa kwani hata we si uliona walikua wa kawaida tu,bahati ilikua upande wao jana.ila uwezo wao ni km akina Brighton tu.Liverpool fans wanasema "Barcelona hawana cha kutisha walishinda kwa bahati tu"......
kabisa, afadhali hata kina Manu, arsenal tulishajijua mapema toka November hatma zetu.Unamaanisha work done yao Msimu huu itakuwa = O.0000000
Ndiyo huyo huyo![]()
Majogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayaiKwani nawewe huyaogopi majogoo?




.Majogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayai.
Siwezi kuyaogopa.


Lakini powaMajogoo yanayopanda mitetea kila siku , miaka na miaka, lakini mitetea haitagi mayai.
Siwezi kuyaogopa.
Timu ya kawaida inakufunga 3-0... anakuja Anfield kukulamba tenaSasa kwani hata we si uliona walikua wa kawaida tu,bahati ilikua upande wao jana.ila uwezo wao ni km akina Brighton tu.
Mitetea ikitaga, nitajua kweli majogoo ni rijali na nitayaogopa.Iko Siku utayaogopa na kuyakimbia haya Majogoo
Mitetea ikitaga, nitajua kweli majogoo ni rijali na nitayaogopa.


Tena unaongea bila aibu kbsa mbele za wanaumeUna Mane Salah uko wachezaji wa mchangani unategemea kupata ushindi mnono mbele ya Barca![]()
Haujakosea mkuuHii mechi imeondoa ile morale ya Liverpool kushindana na Man City kwenye tittle race,
Kwa mechi mbili zilizobaki matokeo yatakuwa hivi
Newcastle anakula 1-1
Wolves anakula 2-1
Hahahaha haumuwez labda kama anadaka kindoki sio TerstegenJana nimechakazwa balaaaaa, sokoine nilitoka bila, camp nou nako but mm bado na uhakika Liverpool atampiga Barcelona na kumtoa kwenye mashindano, piga ua Liverpool anaenda fainali
Sijuagi mnatumia kigezo gani kusema beki ya Barca ni nyepesi nahisi mko brainwashed tuPale Anfield lazima washinde. Beki ya Barca ni nyepesi sana sijui kwa nini wameshindwa kupata goli la ugenini. Tatizo litakua kuwazuia na wao wasifunge.
Katika ya matako labdaHapo sasa unakosea ndugu. Kama Messi ni jiwe la pembeni Ronaldo ni la katikati.
Japo mjadala haufai humu.