The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,430
Liverpool hapat chcht msimu huu....wangekomaaga hata na carabao....ni kapa tena
Messi 2, Suarez 1 vs Liverpool 0
Mliwacheka Sana Man U mkaja na zile recordi zenu Mara Messi hajawahi funga Liverpool na kamwe hawezi.
Nawaonea huruma balaa. Matakavyokuwa na pressure, huku mnawaza ubingwa wa ligi. Kule Barca wanawaza Ucl tu.
Ila angalieni msikose vyote manake watu watapiga hema hapa mpaka msimu unaanza


