Kuna hii ngoja nikwambie. Sijasema barca wepesi. Nimesema beki yao ni nyepesi sana kwa kulinganisha na striking force ya Liverpool nilitegemea lazima angepata goli la ugenini. Kumuanzisha Vidal kunaweza kuwa na impact kwao Barca wenyewe lakini ni nafasi ngap Liver walipata wakashindwa kuzitumia.Unavyowaona barca wepes,hata kuna watu walisema hivo hivo humu, ila kidogo liver ale 5, kila mech na tactic zake, ndio maana Jana akaanza Vidal kuvuruga tu
Tumia lugha unayoielewa ili ueleze mambo yako kwa usahihi lakn pia ili upate kueleweka. Mambo ya Ferinand "didnt fucked" hayana maana kama yanawasilishwa kimakosa.Who cares?
Na raha ya mpira ndio hii, kuja kwenye msiba na kuanza kumsodoa marehemuWe call it SADISM. They are all bunches of sadists. They are in peace when they see the higher level/higher class fellows suffer.
Mkuu kumbe na wewe unajua kuweka kambiNa raha ya mpira ndio hii, kuja kwenye msiba na kuanza kumsodoa marehemu
Nacheka sana.Mkuu kumbe na wewe unajua kuweka kambi
Saa 12 watu wpo humuWana loserfool mmeamka salama hapa?
Alimuonyesha kuwa how's the boss! items of football.Kwa jana messi alimuonyesha salah who is the master of left footed arts.
Salah anamengi mno kujifunza
waoohBarcelona have never eliminated Liverpool from European competition with the Reds unbeaten in four trips to Camp Nou and the only English team to win there.
Siyo huyo alisema wanachukua ubingwa na mechi 3 mkononi ? Sina uhakika lakini.
Tumia lugha unayoielewa ili ueleze mambo yako kwa usahihi lakn pia ili upate kueleweka. Mambo ya Ferinand "didnt fucked" hayana maana kama yanawasilishwa kimakosa.