Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Upo sahihi kabisa ,msimu huu nyota imemuwakia tenaWapendwa fuatilieni statistics za Messi, mwaka huu yuko kwenye top form ya Maisha yake ya mpira
Kama Liverpool wanataka wacomeback, aidha wamuombee augue jumanne ya wiki ijayo au waweke plan ya kumkatia mawasiliano
Jamaa yuko kwenye top form ya taaluma yake ya mpira mwaka huu
Laliga 34 goals and 13 assists
UEFA 12 goals
Copa Delaray 2 goals
Anaweza kuwa kashafikisha magoli 50 na bado anaendelea kufunga
