Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,555
Unawezaje kuishi bila ya kuwa na matumaini mkuu!!!?lazima tujipe matumaini Kama ambavyo yeye anajipa matumaini ya kuchukua kwa kuwafunga man u toht Leicester Brighton na Nan sijui...so matumaini ndio msingi wa kila kitu.Tunaomba apoteze, lakini tusijipe matumaini ya kwamba ni lazima apoteze.
We had a chance to take control of our fate, we brew it up.