Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpira haupo hivyo mpira dk90,kikosi hicho hicho ndio kimeitoa huyo man city,an Jana nakukumbusha alieshinda Ni man city sio tothn so nae anaeweza kutokubali kupigwa Mara mbili mfululizo...na ili mradi Brendan Rogers bado hajachexa na Hawa watu bado nafasi ipo..

Wewe unaweka matumaini ya mwenzio kupoteza, are you sure kwamba utashinda zote zilizobaki?
 
Hata tukishinda zote Kama yeye hatopoteza Ni kazi bure so nadhani unaona kwann tunaomba yeye apotezee,!!!Kama una swali jingine nipo mkuu
 
Gini kawa mbovu kupita maelezo hivi sasa, form yake inatia shaka. Yani pass zake sio productive, mara nying pass fupi fupi zinazochuliwa na adui, hata ku assist imekuwa shida kwake.

Kwangu naprefer Fabby, Nabby, Hendo.
Gini hajawa mbovu, he's tired

Faby, naby, hendo works well for now and we can use that

But gini slows down the tempo, which could be critical hasa kwa away game
 
Gini hajawa mbovu, he's tired

Faby, naby, hendo works well for now and we can use that

But gini slows down the tempo, which could be critical hasa kwa away game

We all watch this game, never seen any team that has managed to slow Barca's tempo.

You can beat them, but you can't slow their tempo.
 
Tunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.

you cant chat au kuongea kuhusu UEFA CHAMPIONS LEAGUE history bila kuitaja LFC..

Ni sisi, Barça, Ajax, Madrid na Bayern ndiyo tunamiliki original version ya CL trophy.
AC Milan mkuu ongezea hapo
 
Champions league semi-finals(30th April-8th May)

Tuesday 30th April 2019
Tottenham - Ajax

Wednesday 1st May 2019
Barcelona - Liverpool

Tuesday 7th May 2019
Liverpool - Barcelona

Wednesday 8th May 2019
Ajax - Tottenham
 
Tunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.

you cant chat au kuongea kuhusu UEFA CHAMPIONS LEAGUE history bila kuitaja LFC..

Ni sisi, Barça, Ajax, Madrid na Bayern ndiyo tunamiliki original version ya CL trophy.

Vipi kuhusu hizo stars kwenye jezi?
 
I’m not sure kama Hawa wanaojiita soccer pundits uchwara wanalijua hili zaidi ya kuuza sura
 
Vipi kuhusu hizo stars kwenye jezi?
Ni the same kama kwenye "original version ya CL trophy"

badge of honour inaenda kwa Clubs ambazo zimeshinda CL mara 5 na kuendelea AU kushinda CL kwa misimu mitatu mfululizo..

kwahyo ukiachana na sisi, clubs zingine ambazo zina badges of honour ni Madrid (father of this competition), Milan, Ajax, Bayern na Barça.

in England, LFC are the most decorated club in Europe (Uefa competition). followed by United with 3 CLs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom