Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi Nitabeba Europa, kitendo cha kung'ang'ania makombe mawili mtajikuta mnapoteza yote..

Mlisema hata kwenye makundi hutupiti
Mkasema kwa Napoli hatuchomoi
Mkadai safari itaishia Porto
Sasa mmeanza ramli nyingine
Kwa beki ya akina Pique any team has a chance
Hiyo Futuhi hata Arsenal hutamfunga kwa Chelsix ya sasa
Sarri ball haijashinda kikombe chochote wala mashindano yoyote popote pale duniani
 
Mimi Nitabeba Europa, kitendo cha kung'ang'ania makombe mawili mtajikuta mnapoteza yote..

Omba sana Arsenal atolewe kabla hajafika Fainali, Lakini akifika Fainali kwa Genge lenu lile usitegemee kumaliza hata dakika 90 bila ya Arsenal kukabidhiwa Kombe.
Coz kwa Fainali za hivi karibuni umekuwa ni Mteja wa Arsenal Mkubwa wa Kumkabidhi kombe.
 
arsenal kanifunga final moja tu FA ..ile Community Shield sio ya kuhesabu..

Klopp akijidai kutaka makombe yote itakula kwake..
 
Tunajitahid kuwa kitu kimoja ila kunampuuzi mmoja anajaribu kutukera wakuu kumpuuzia huyu kenge maana anajifanya anaijua na kuipenda LFC kuliko sisi wengine
kila mmoja yetu anaipenda timu hii kwa staili yake, wapo wanaona wengine ni plastic fans na kadhalika huo ni mtazamo wao na binafsi haunipunguzi lolote, nitazidi na nitaipenda Liverpool daima...
 
Mlisema hata kwenye makundi hutupiti
Mkasema kwa Napoli hatuchomoi
Mkadai safari itaishia Porto
Sasa mmeanza ramli nyingine
Kwa beki ya akina Pique any team has a chance
Hiyo Futuhi hata Arsenal hutamfunga kwa Chelsix ya sasa
Sarri ball haijashinda kikombe chochote wala mashindano yoyote popote pale duniani
Kwani Klopp ana misimu mingapi apo Liverpool? Usimjaji Sarri kwa msimu mmoja tu..
 
Weekend hii City anaenda kupigwa kipigo kitakatifu na spurs.

Liverpool tunaenda kukaa on top with 5 points clear ahead of manshit.

May 13 tutaenda kukabidhiwa mzigo.
hawa Manshit hii shock waliyopata jana itawatafuna vimbaya mno kwa siku zijazo, Jmosi Spurs akitulia mbona mapema tu anawapiga...

but in reality a wounded lion is damn very dangerous hivyo lets wait n see...

we.beat Cardiff 3 to go...
 
Ni sawa na kamba ya Ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Ni kitu ambacho hakiwezekani ..Liverpool iko kwenye kiwango bora sana lakini apo Klopp lazima akubali kubaki na EPL tu au UEFA tu..
Hapana Mkuu uzuri EPL inaelekea ukingoni hivyo sasa kwena full throttle kama Ferrari tunaweza na pia ukizingatia mechi zilizobaki EPL ni winnable.....

in reality tumebakisha mechi 6 msimu ya 7 ni fainali UEFA na bila majeruhi mapya kikosi taa imewaka kupambana kuchukua UCL na EPL ...

muda utasema but we DARE DREAM..
 
Huu mchezo walifanyiwa manyua wakalipiza, naona na liva nao wamefanya vile vile ,wamelipiza

Barcelona charging #LFC fans €119 for tickets for the first leg at the Nou Camp. As a result Liverpool will charge Barca fans €119 for the game at Anfield and use the €31 extra to subsidise tickets for the 4,600 Kopites travelling to Spain.
 
IYKWIM
IMG-20190418-WA0029.jpeg
 
Klop toka dortmund hanaga historia ya kuchukua uefa hata mara moja, ndio maana final ya madrid ilikuwa na gundu balaaa mkapigwa kizembe mnoo

Liverpool mwaka huu hamchukui hata kombe la mbuzii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom