MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
yep nimekumbuka now man..2009 tulitolewa na Chelsea, Chelsea akatolewa na Barca ambao ndo walikuwa mabingwa vs Man Utd.
craig cameback at LFC mwaka 2010 of 2011?
yep nimekumbuka now man..2009 tulitolewa na Chelsea, Chelsea akatolewa na Barca ambao ndo walikuwa mabingwa vs Man Utd.
Dauda,Mzee wa underdog.akiacha kuweka ushabiki atakuja kua mchambuzi mzuri sana wa soka
No more Pale Green Jersey for Alison?
Sasa kwa viungo wenu fabinho, milliner, Henderson na keita kabisa wapo tayari kupambana na Sergio, rakitic na fundi mdogo arthur melo...
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Dauda,Mzee wa underdog.akiacha kuweka ushabiki atakuja kua mchambuzi mzuri sana wa soka

Gini anaweza kuwamiliki on away game and then We can use Keita kwa home game is
yep nimekumbuka now man..
craig cameback at LFC mwaka 2010 of 2011?
Just ignore him you'll never see his bullshit!
He is immature and stupid
Tunamiliki "original" CL trophy, ni baada ya kushinda hilo kombe Mara 5.Mkuu hizi facts sikuzijua
Europe matters to Liverpool. Books have been written about those adventures in Rome, Paris and Istanbul. They are the tales that define the club. The five-time winners of Europe.
Liverpool is the last team to be permanently awarded the trophy. The only English club permitted to wear the multiple-winners' badge on their shirts in European competition.
Source: Eurosport
1.City wanataka EPL. Sio rahisi wakubali kupoteza two trophies ndani ya siku 5.
first leg ya round of 16 at Camp Nou we won by 2 goals..
second leg at Anfield, they won by 1 goal..
tulipita kwa away goals..
it was 2009 man..
1.City wanataka EPL. Sio rahisi wakubali kupoteza two trophies ndani ya siku 5.
2.Tot wana injuries ,kikosi kidogo na uchovu, wakati Man city wa kosi panaa.
3.Man city wako nyumbani.
I took your advise, it works.
Better to focus on Huddersfield, not against the so called Barca.
Mpira haupo hivyo mpira dk90,kikosi hicho hicho ndio kimeitoa huyo man city,an Jana nakukumbusha alieshinda Ni man city sio tothn so nae anaeweza kutokubali kupigwa Mara mbili mfululizo...na ili mradi Brendan Rogers bado hajachexa na Hawa watu bado nafasi ipo..1.City wanataka EPL. Sio rahisi wakubali kupoteza two trophies ndani ya siku 5.
2.Tot wana injuries ,kikosi kidogo na uchovu, wakati Man city wa kosi panaa.
3.Man city wako nyumbani.